Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Mi nataka kupambana na wewe kuhusu siasa za Ccm na maendeleo yake ,binafsi napiga huu mwenendo
 
Mada:kuna uhai baada ya kifo
Napinga kama kuna uhai baada ya kifo kutokana na kukosekana kwa ushaidi
Karibu kiongozi utetee mada

swali lako ni lipi hapo? Naona umeianzisha mada halafu umeifunga wewe kabla hujauliza swali.

Ungeuliza swali ni mada nzuri sana hiyo.
 
Sizijuwi "nchi za palestina", niijuwayo ni nchi moja iitwayo Palestina ambayo sasa hivi inakaliwa kwa mabavu na mazayuni.
""Nchi za palestina"" nikiwa na maana ya washirika wake ""wafahidhina"" nikiwa na maana ya nchi washirika wao wanao wa support wakiwemo WAARABU
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.

WANAUME WA KIISLAMU WAKIFA KATIKA IMANI WAKIENDA AKHERA WANAPATA WANAWAKE BIKRA 72.

JE WANAWAKE WAO WAKIFA WANAENDA KUPATA NINI?
 
Mimi sizijuwi hizo nchi za "washirika wake" wala sizijuwi "wanao wa support wakiwemo Waarabu". Kama wewe unazijuwa taja ni zipi na "washirika" kivipi, fafanuwa.

Kuwa "specific", hatuwezi kulumbana kama sikuelewi unachokisema.
 
WANAUME WA KIISLAMU WAKIFA KATIKA IMANI WAKIENDA AKHERA WANAPATA WANAWAKE BIKRA 72.

JE WANAWAKE WAO WAKIFA WANAENDA KUPATA NINI?
Mimi sijasoma hayo, unaweza kuweka ushahidi wa Qur'an? Au ni fikra zako tu?
 
swali lako ni lipi hapo? Naona umeianzisha mada halafu umeifunga wewe kabla hujauliza swali.

Ungeuliza swali ni mada nzuri sana hiyo.
Kwenye debate hamnaga swali kuna mada...me nimeweka mada na kutetea upande wangu
 
Mada yako ni nini?

Anza kwa kuainisha unachotaka tujadili na uainishe wewe upo upande upi katika hiyo mada (pros and cons).
 
Mada:BAADA YA KIFO KUNA UHAI MWENGINE
Me napingana na mada hiyo kutokana na kuwepo kwa ushaidi dhaifu
Karibu
 
Mimi sijasoma hayo, unaweza kuweka ushahidi wa Qur'an? Au ni fikra zako tu?
It is in the Islamic Traditions that we find the 72 virgins in heaven specified: in a Hadith (Islamic Tradition) collected by Al-Tirmidhi (died 892 CE [common era*]) in the Book of Sunan (volume IV, chapters on The Features of Paradise as described by the Messenger of Allah [Prophet Muhammad], chapter 21, About the Smallest Reward for the People of Paradise, (Hadith 2687). The same hadith is also quoted by Ibn Kathir (died 1373 CE ) in his Koranic commentary (Tafsir) of Surah Al-Rahman (55), verse 72: "The Prophet Muhammad was heard saying: 'The smallest reward for the people of paradise is an abode where there are 80,000 servants and 72 wives, over which stands a dome decorated with pearls, aquamarine, and ruby, as wide as the distance from Al-Jabiyyah [a Damascus suburb] to Sana'a [Yemen]'."

UNAPINGANA NA MUHAMAD?
 
Mada:BAADA YA KIFO KUNA UHAI MWENGINE
Me napingana na mada hiyo kutokana na kuwepo kwa ushaidi dhaifu
Karibu
Sasa unapingana na mada yako mwenyewe?

Makubwa haya.
 
It is in the Islamic Traditions that we find the 72 virgins in heaven specified: in a Hadith (Islamic Tradition) collected by Al-Tirmidhi (died 892 CE [common era*]) in the Book of Sunan (volume IV, chapters on The Features of Paradise as described by the Messenger of Allah [Prophet Muhammad], chapter 21, About the Smallest Reward for the People of Paradise, (Hadith 2687). The same hadith is also quoted by Ibn Kathir (died 1373 CE ) in his Koranic commentary (Tafsir) of Surah Al-Rahman (55), verse 72: "The Prophet Muhammad was heard saying: 'The smallest reward for the people of paradise is an abode where there are 80,000 servants and 72 wives, over which stands a dome decorated with pearls, aquamarine, and ruby, as wide as the distance from Al-Jabiyyah [a Damascus suburb] to Sana'a [Yemen]'."

UNAPINGANA NA MUHAMAD?
Kumbe unaleta "traditions" si maana yake mila za watu hiyo "tradition"?

Waislam source yetu ni Qur'an siyo maneno au mila za watu.

Unawacha Qur'an unakuja na majina ya watu? Si heri ungejitaja mwenyewe badala ya kuleta kisa cha mtu naekupigia porojo?

Kama hauna japo aya ya Qur'an unayoijengea hoja yako unakuja na porojo za wenzako usitupotezee muda.

Kwani hauna Qur'an nikupe link ujisomee?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Kama unajua kila kitu haina haja
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema.

yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Kwanini mkipewa dhamana mnaahirisha kufikiri kwa nafsi, a.k.a kujizima data, (suspending individual reasoning)
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Bibi... mimi nimetokea kukuelewa sana.. umeolewa ? I mean uliolewa ?
 
Back
Top Bottom