Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Mada ahadi ya mabikra 72 peponi

Je kama wanaume watapewa mabikra 72 kule peponi,wanawake watapewa nini?
😅😅😅😅.......unataka kuendelea mzigo hata mbinguni? Umepea sana.
 
Sasa ulivosema debate ya topic yoyote ndio ulikosea hapo. Kuna topic wewe hutoweza ku debate against,
Ku debate sio lazima uwe against. Kuna kukhitilafiana.

Sijui shule ipi ilikufundisha kuwa ku-debate ni lazima muwe against?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Engine ya 7A ni bora kuliko 5A ila 5A unaweza ifunga kwenye ngalawa za uvuvi, 7A ukifunga inaleta miss.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
MADA:UKOSEFU WA AJIRA.

Habari mtoa uzi.Kama mada inavyoonekana hapo juu unaonaje serikali ikaangalia namna iliyo bora ikapunguza wafanyakazi hasa kada ile yenye wafanyakazi wengi kuliko zote(walimu) ili iajiri kundi kubwa la vijana jobless ili nao wale keki ya Taifa?
Watakaoajiriwa wataanza na salary ndogo hivyo serikali itamudu kuajiri wengi.
 
Mada: Kuchepuka.
1) Sababu gani zinapelekea wanawake wachepuke kwenye ndoa zao?
2) Wewe umewahi kuchepuka?
 
Nimwekumbuka kuwa nna uzi wa malumbano kwa wanaojiamini.

Kwa mtazamo wangu dada Faiza umeropoka mambo ambayo huna elimu nayo wala hujayafanyia utafiti otherwise kama unalishwa matangopori ya akina khamenei toka Tehran!.

Haya kijana leta hayo mambo ambayo unadhani sina elimu nayo.

Nimekuleta hapa kwa kufahamu kuwa hujuwi namna ya kufunguwa uzi, ili tusichanganye mada. Haya sema tatizo lako tukupe darsa.
 
Ngoja tuje kulumbana hapa angalizo usije kukimbia Tena Uzi😊

Unadhani kwanini nchi za Palestina e.t.c all co Ltd

Wanapata tabu na Israel na watapelekewa moto mpaka wajisalimishe miguuni mwa waisrael una dhani Nini wafanye ili kujiokoa na hivi vita?
 
kwanza hii sijaelewa maana yake;"e.t.c all co Ltd".
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Anza na Lucas wengine tutafuatia.
 
Mada:kuna uhai baada ya kifo
Napinga kama kuna uhai baada ya kifo kutokana na kukosekana kwa ushaidi
Karibu kiongozi utetee mada
 
Back
Top Bottom