Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unaleta "traditions" si maana yake mila za watu hiyo "tradition"?
Waislam source yetu ni Qur'an siyo maneno au mila za watu.
Unawacha Qur'an unakuja na majina ya watu? Si heri ungejitaja mwenyewe badala ya kuleta kisa cha mtu naekupigia porojo?
Kama hauna japo aya ya Qur'an unayoijengea hoja yako unakuja na porojo za wenzako usitupotezee muda.
Kwani hauna Qur'an nikupe link ujisomee?
Kumbe unaleta "traditions" si maana yake mila za watu hiyo "tradition"?
Waislam source yetu ni Qur'an siyo maneno au mila za watu.
Unawacha Qur'an unakuja na majina ya watu? Si heri ungejitaja mwenyewe badala ya kuleta kisa cha mtu naekupigia porojo?
Kama hauna japo aya ya Qur'an unayoijengea hoja yako unakuja na porojo za wenzako usitupotezee muda.
Kwani hauna Qur'an nikupe link ujisomee?
Vp hujawahi kupindisha... yan kutoa mzigo kwa jamaa mwingine nje ya ndoa? Au ulikua unamtunzia Babu yetu, I can imagine 44years sio mchezo bibiAlhamduliLlah nipo kwenye ndoa moja kwa miaka 44 sasa.
Mada unayotaka kulumbana (debate) hapo ni ipi? Au hujasoma post ya kwanza ukaona huu uzi unahusu nini?Vp hujawahi kupindisha... yan kutoa mzigo kwa jamaa mwingine nje ya ndoa? Au ulikua unamtunzia Babu yetu, I can imagine 44years sio mchezo bibi
Unadhani Ni Nani msaliti kwenye Baraza la mawaziri na kwenye CC ya CCM?Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Wanachuoni wako waongo/ Aarab ni Mwarabu, wao ameogo[pa nini kutafsiri ukweli? Neno Bedui wametajwa kama bedui kwenye Qur'an.Faiza ! Faiza! Faiza! Nakuita tena Faiza Foxy !!
Mara ngapi nikuonye juu ya kukoma kutafsiri Quran kwa akili yako bila kuangalia wanachuoni wamesema nini kuhusu aya husika??!!.
Je unajua hatari ya kuitafsiri Quran kwa mawazo yako binafsi.??!!
Mtume
صلى الله عليه وسلم anasema :
"من قال في القرٱن برأيه فليتبوأ مقعده من النار".
" Atakaeisemea Qur'an kwa mawazo yake ajiandalie makazi yake motoni.
Na Allaah mtukufu anasema katika sura ya 29 Aya ya 68 /Suuratil a'nkabuut ya kwamba :
{ وَمَنۡ أَظۡلَمُ مِمَّنِ ٱفۡتَرَىٰ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبًا أَوۡ كَذَّبَ بِٱلۡحَقِّ لَمَّا جَآءَهُۥٓۚ أَلَيۡسَ فِي جَهَنَّمَ مَثۡوٗى لِّلۡكَٰفِرِينَ }
[Surah Al-ʿAnkabūt: 68]
"Na nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzulia uwongo Allaah au anaye kanusha Haki inapo mjia? Je! Si katika Jahannamu ndio yatakuwa makaazi ya makafiri?."
Wewe unadai kiarabu ni very clear wakati ulikimbia madrassa??!!
How can be clear kwa mtu ambaye hajasoma kama wewe??!!
Tarjama maarufu za Qur'an from Arabic to Swahili hapa east Africa ni Tafsiri ya Sheikh Abdallaah Saleh Alfarsy aliyewahi kuwa kadhi mkuu wa Zanzibar na baadae akawa Kadhi mkuu wa Kenya na tarjama nyingine ni ya Sheikh Ali Muhsin Albarwan na Hawa wanachuoni wote wawili wametafsiri kwamba الأعراب
(Al Aa'raabu) ni mabedui, Sasa wewe ni nani Faiza kuleta tafsiri uliyookota jalalani kusema kwamba الأعراب ni waarabu halafu unachekesha watu kwa kudai kwamba ni very clear??!!
Wewe hiyo tafsiri inayosema kwamba
الأعراب
ni waarabu umeitoa wapi Faiza?? !!
Mwalimu aliyekufundisha tafsiri hiyo anaitwa nani Faiza??!!
Mimi ni muislamu wa madhehebu ya kisunni, lakini naamini hata makadiyani na mashia (Allaah awalaani), hawawezi kutafsiri kwamba
الأعراب
maana yake ni waarabu,
Kwa sababu pamoja na upotevu na ukafiri wao wakitafsiri hivyo watakuwa wamejitangaza kwamba hawana maarifa yoyote juu ya Lugha ya kiarabu!
Hapa chini nakuwekea tarjama ya kiingereza iliyoandikwa na wanachuoni wawili:,
Dr. Muhammad Taqiyyu ud Din Alhilali
Na Dr. Muhammad Muhsin Khan utuonyeshe ni wapi wamesema kwamba
الأعراب
Maana yake ni waarabu!!!.
{ ٱلۡأَعۡرَابُ أَشَدُّ كُفۡرٗا وَنِفَاقٗا وَأَجۡدَرُ أَلَّا يَعۡلَمُواْ حُدُودَ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ عَلَىٰ رَسُولِهِۦۗ وَٱللَّهُ عَلِيمٌ حَكِيمٞ }
[Surah At-Tawbah: 97]
The bedouins are the worst in disbelief and hypocrisy, and more likely to be in ignorance of the limits (Allâh’s Commandments and His Laws) which Allâh has revealed to His Messenger. And Allâh is All-Knower, All-Wise.
Hayo ni mawazo yako, sina sababu ya kuyabishia wala kuyajadili. Una haki na mawazo yako.Mara nyingi nimekuwa nikasema kwamba ADUI WA PALESTINA NI WAPALESTINA WENYEWE.
NA ADUI WA WAARABU NI WAARABU WENYEWE.
NA ADUI WA WAISLAMU NI WAISLAMU WENYEWE.
سبحان الله!!!Nimwekumbuka kuwa nna uzi wa malumbano kwa wanaojiamini.
Haya kijana leta hayo mambo ambayo unadhani sina elimu nayo.
Nimekuleta hapa kwa kufahamu kuwa hujuwi namna ya kufunguwa uzi, ili tusichanganye mada. Haya sema tatizo lako tukupe darsa.
Umesahau mliniambia amjui chochote kuhusu issa kuwa alikufa au yupo hai ...wakati kila siku mnasifu kuwa uislamu hauja acha kitu chochote ndani yake ...mlinikimbia kijanja maana kama ujui si unasema mtume muhammad amesema nini ....ila kwa ujanja uja
Suala la mwanamke kujifunika mwili mzima. Hapa unaingilia masuala ya imani za watu na si jambo jema. Anae jifunika ana sababu zake na mismamo yake lakini pia umezungumzia suala la harufu. Je una ushahidi wa japo mtu mmoja alie lalamika kua akivaa ivo anatoa harufu au umeweka dhana na dhamira tu?Nataka kubishana na wewe kuhusu mavazi. Je kujifunika gubigubi na joto la dar kunakupeleka mbinguni?
Wanawake wavae mavazi ya heshima ila tu kujifinika kuanzia nywele na mabaibui kunasababisha harufu mbaya maeneo yote yenye nywele
Hapo unasemaje
= pros

Sifhamu hilo umelitowa wapi, nimeona wengi sana mnalitaja taja hilo.Mada ahadi ya mabikra 72 peponi
Je kama wanaume watapewa mabikra 72 kule peponi,wanawake watapewa nini?
Hujajibu swali hapo au mi ndo sijaelewa,Sifhamu hilo umelitowa wapi, nimeona wengi sana mnalitaja taja hilo.
Qur'an inasema hivi kwenye aya tofauti tofati:
{Kamwe sitaruhusu kupotea kazi ya yeyote kati yenu, mwanamume au mwanamke.} (Aal lmran 2:195)
Na atakayefanya uadilifu, awe mwanamume au mwanamke, na hali yeye ni Muumini wa kweli, basi Sisi tutahuisha maisha mema. (An-Nahl 16:97)
Na mwenye kutenda mema, akiwa mwanamume au mwanamke, naye ni Muumini wa kweli, basi hao wataingia peponi. (An-Nisaa' 4:124)
Hakika Waislamu, wanaume na Waumini wanawake, wanaume na Waumini wanawake. [Mpaka mwisho wa aya ambapo Mwenyezi Mungu anasema:] Mwenyezi Mungu amewaandalia maghfira na ujira mkubwa. (Al-Ahzab 33:35)
Mwenyezi Mungu anawataja kuingia Peponi pamoja.
Wao na wake zao watakuwa katika kivuli kizuri. (Ya Sin 36:56)
Pia
Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu kwa furaha. (Al-Zukhruf 43:70)
Kuhusu Engonga pia upotayari?Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
kabisa tena, njoo tu tena kuna vijana wangu hapa watakuboost kwa kuku pdiddy. Usijali kabisa, mafuta kama hauna pesa ya kununulia usihangaike, tutanunuwa dozen moja duka la dawa. Yapo Jonhson baby oil.Kuhusu Engonga pia upotayari?