Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Basi tufanye kwa kanuni za bunge la Ufaransa?

Hatahivyo nimeweza kudadavua mambo mawili matatu kutokana na jibu lako.
Kwamba,
Unalidharau Bunge la Tanzania kwa sababu umeshindwa kufikiria mbali zaidi ya propaganda hasi na za uhasama kuhusu bunge hili.

Kuwa, Umeshindwa kutenganisha kanuni na miongozo nayo pendekeza na porojo za Kisiasa.

Ama,
  • Unatania.
Awali ya yote, hujapinga au kukataa pendekezo langu kwa hoja stahiki.
Sijapinga wala kukataa pendekezo lako, nimetoa maoni yangu kwamba Jukwaa la Siasa likiendeshwa Kama Bunge la JMT basi JF itayumba.

Siwezi kulidharau hilo Bunge ila mtazamo wangu kulihusu unatokana na matendo ya Wabunge wenyewe na uendeshwaji wake ambao unaonekana wazi matokeo yake na sio Siri.

Msingi na kanuni mama JF ni “kunena na kumala.
 
Ulikuwa umetisha. Manake kusema JF itayumba kwa kufuata kanuni na miongozo ya Bunge la JMT kana kwamba Bunge letu linayumba, ni maneno mazito.
Ni kwamba sijawahi kusikia.

Hata hivyo sikuwa nimesema tufuate Kanuni na Miongozo ya bunge la JMT, ila mabunge in General.
.....
...au ndio Kunena na Kumala huko... salaleh

Haya hayo pembeni, unafikiri ni kwanini Jukwaa la Siasa litayumba kwa pendekezo langu? Huoni kutaondokana na nyuzi za Upotoshaji? Au nyuzi zenye kutia hamasa chuki? n.k n.k..
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Bangi mbaya nimeamini!
 
Ajuza unashabikia vita sana wakati upo CA umekaa kwenye kochi

Swali langu ulishawahi kumiliki hata silaha ya moto??
 
Ulikuwa umetisha. Manake kusema JF itayumba kwa kufuata kanuni na miongozo ya Bunge la JMT kana kwamba Bunge letu linayumba, ni maneno mazito.
Ni kwamba sijawahi kusikia.

Hata hivyo sikuwa nimesema tufuate Kanuni na Miongozo ya bunge la JMT, ila mabunge in General.
.....
...au ndio Kunena na Kumala huko... salaleh

Haya hayo pembeni, unafikiri ni kwanini Jukwaa la Siasa litayumba kwa pendekezo langu? Huoni kutaondokana na nyuzi za Upotoshaji? Au nyuzi zenye kutia hamasa chuki? n.k n.k..
Hapo kwenye bold sasa ndio umeweka kinaga ubaga hoja yako.

Kwamba hujawahi kusikia mawimbi na madhoruba yanayolikumba Bunge la JMT? Hongera.

Shule ulifunzwa kuna mihimili mingapi ndani ya Nchi? Bunge ni Muhimili unaijitegemea ama sio? Kwa vitendo?

Halafu…

Unaitambua power inayoambatana na kuchagua na kupangia watu/binaadam cha kusema na kuandika? Ikiwa rasmi?
Italeta maafa.

Hivi tu sio rasmi sana ila cha mtema kuni watu wanakiona, nenda jukwaa la malalamiko na makasiriko ukashuhudie.
 
Back
Top Bottom