Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Mada:
Je kuna unafuu kwenye swala la Manunuzi ya bidhaa online kwa kila MTU au ni ulimbukeni?

Binafsi Naona ni ulimbukeni kwa mfano MTU anahitaji simu inayouzwa laki 2 hapa dukani basi anaona Bora asave 50k anaagiza uko inauzwa 150k usafirishaji 30k inachukua wiki au mwezi anasubiri na bahati mbaya inaweza kuja na mapungufu sasa ili unalichukuliaje maana wanouza simh uchukua bulk na kabla wananunua sample kwa test je huyu mnunuzi wa kawaida sio mjinga kweli kama Ritz, okay bi faiza mpenzi njoo tulumbane.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Katika mechi ya Mamelodi vs Yanga, mpira uliopigwa na Aziz Ki (anaitwa Stephane kwa jina la Kigalatia) umeleta utata kama ulizama ndani ya mstari kwa 100% bila kugusa mstari au kuna portion ndogo iligusa mstari. Debate ipo kati ya pande hizo mbili, wapo wanaosema uliingia kwa 100% (kwamba ni goli) na wapo wanaodai haukuingia kwa 100% (kwamba si goli). Mada hiyo hapo, tuwekee upande wako ukisindikizwa na hoja au vielelezo

1712558833360.png
 
Vimefanyaje
Kasikilize wimbo wa THE LOX

LYLICS

See I believe in money, power, and respect
First you get the money
Then you get the muthafuckin', power
After you get the fuckin' power
Muthafuckas will respect you
What's the key to life?
Money, power, and respect
What you need in life?
Money, power, and respect
You'll be eatin' right
Money, power, and respect
You can sleep at night
You'll see the light
What's the key to life?
Money, power, and respect
What you need in life?
Money, power, and respect
You'll be eatin' right
Money, power, and respect (yeah)
Money, power, and respect (yeah, yo, yo)

What made you dedicate this song for me?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Bibi umeachika 🤣🤣🤣
 
Naitwa NALIA NGWENA

Maada : Kuna mahusiano Gani Kati ya waganga na kitabu Cha Qur'an??

Hii asilimia kubwa waganga lazima wawe na kitabu Cha Qur'an huwezi Kuta mganga ana biblia.

Naomba unijibu KWA ufasaha nilizike kabisa KWA moyo Safi.
 
Bunge hili hili la JMT?

JF itayumba.
Basi tufanye kwa kanuni za bunge la Ufaransa?

Hatahivyo nimeweza kudadavua mambo mawili matatu kutokana na jibu lako.
Kwamba,
Unalidharau Bunge la Tanzania kwa sababu umeshindwa kufikiria mbali zaidi ya propaganda hasi na za uhasama kuhusu bunge hili.

Kuwa, Umeshindwa kutenganisha kanuni na miongozo nayo pendekeza na porojo za Kisiasa.

Ama,
  • Unatania.
Awali ya yote, hujapinga au kukataa pendekezo langu kwa hoja stahiki.
 
Naitwa NALIA NGWENA

Maada : Kuna mahusiano Gani Kati ya waganga na kitabu Cha Qur'an??

Hii asilimia kubwa waganga lazima wawe na kitabu Cha Qur'an huwezi Kuta mganga ana biblia.

Naomba unijibu KWA ufasaha nilizike kabisa KWA moyo Safi.
Sasa hapo tatizo nini?> Qur'an ni shifa.

Mganga kazi yake kutibu, hata madaktari wa kiume Kiswahili tunawaita "Bwana Mganga".

Tatizo ingekuwa ni wachawi.
 
Back
Top Bottom