Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
yaani ndugu zetu kutoka ule mkoa reli inapoishia....... hii kitu ipo damuni.....! Yaani hata asipojitambulisha kabila lake....... utamjua tu!
 
Mwamuzi ndiye mwenye hukumu ya mwisho uwanjani. Hata tukijadili haisaidii kitu.

Nakumbuka zamani sana, Maradona aliwahi kufunga goli la mkono likawa maarufu sana "hand of God". Mwamuzi akaamuwa ni goli, ikawa ni hivyo.

Kwa wengine chungu, kwa wengine tamu.
Hapana sijaridhishwa na majibu yako ya hovyo hovyo majibu yako ya kishenzi kishenzi itakuwa umezeeka wewe bibi 😁😁😁😁
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Kwanza tukubaliane maokoto.
 
Ulishashiba uji wa ngano na vipopoo unataka kuja kudhihaki na kutukana watu humu.

Ungeenda kuandaa abaya la sikukuu
 
Ulishashiba uji wa ngano na vipopoo unataka kuja kudhihaki na kutukana watu humu.

Ungeenda kuandaa abaya la sikukuu

A AlhamduliLlah, jukumu la kunilisha na kunivisha ni la mume wangu kwa uwezo aliojaaliwa na Allah.
 
Alitoa mtume wenu


Vifungu
Mbona umeweka namba na maneno ya watu badala ya hizo aya?

Zinukuu hapa aya ujione ulivyojazwa ujinga ukakujaa.
 
Miongozo ya Udhibiti wa Uzi.

Napendkeza Jukwaa letu la Siasa liendeshwe sawa na Bunge likiwa na kanuni za kuongoza Mijadala mbali na miongozo mikuu ya JF.
Kanuni za Bunge huongoza mijadala enye kuhakikisha utaratibu unafuatiliwa, haki kutolewa ikiwa ni pamoja na mazungumzo yenye kujenga-tia tija.

Kama kanuni za Bunge linavyo maintain Decorum, hapa Jamvini tuwe na utaratibu kama ule. Ikitokea mtafaruku, au majadiliano yakakengeuka kwa hoja isiyo na tija. Uzi ufutwe mara moja.
Bunge hili hili la JMT?

JF itayumba.
 
Kama mwanamke hafikii climax kwa muda unaokubalika kikawaida, kuna uwezakano wa kuwa na mojawapo au zaidi ya matatizo mengi.

Binafsi naamini kama hujajiweka kwa kujitayarisha kwenye "sexuality" kisaikolojia ni tatizo kubwa.

Lakini kuna mengi sana; usafi, mlo, afya, matayarisho, lakini muhimu zaidi ni kujitambuwa na saikolojia.
lakini muhimu zaidi ni kujitambuwa na saikolojia.

Dada fox juzi kwenye uzi furani ulinijia juu na kuniita mjinga kisa nlikosea kuandika herufi moja tu
Kusema ukweli sikujisikia vzr
Leo hi kwenye pita pita zangu nmekutana na hi

Siongei neno zaidi kwakua nlikupa majibu kule kule ila nlipenda tu utambue ya kua MAKOSA ni sehemu ya maisha ya mwanadamu
 
Back
Top Bottom