The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Mi nataka kupambana na wewe kuhusu siasa za Ccm na maendeleo yake ,binafsi napiga huu mwenendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada:kuna uhai baada ya kifo
Napinga kama kuna uhai baada ya kifo kutokana na kukosekana kwa ushaidi
Karibu kiongozi utetee mada
""Nchi za palestina"" nikiwa na maana ya washirika wake ""wafahidhina"" nikiwa na maana ya nchi washirika wao wanao wa support wakiwemo WAARABUSizijuwi "nchi za palestina", niijuwayo ni nchi moja iitwayo Palestina ambayo sasa hivi inakaliwa kwa mabavu na mazayuni.
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Mimi sizijuwi hizo nchi za "washirika wake" wala sizijuwi "wanao wa support wakiwemo Waarabu". Kama wewe unazijuwa taja ni zipi na "washirika" kivipi, fafanuwa.""Nchi za palestina"" nikiwa na maana ya washirika wake ""wafahidhina"" nikiwa na maana ya nchi washirika wao wanao wa support wakiwemo WAARABU
Kwenye debate hamnaga swali kuna mada...me nimeweka mada na kutetea upande wanguswali lako ni lipi hapo? Naona umeianzisha mada halafu umeifunga wewe kabla hujauliza swali.
Ungeuliza swali ni mada nzuri sana hiyo.
Mada:BAADA YA KIFO KUNA UHAI MWENGINEMada yako ni nini?
Anza kwa kuainisha unachotaka tujadili na uainishe wewe upo upande upi katika hiyo mada (pros and cons).
It is in the Islamic Traditions that we find the 72 virgins in heaven specified: in a Hadith (Islamic Tradition) collected by Al-Tirmidhi (died 892 CE [common era*]) in the Book of Sunan (volume IV, chapters on The Features of Paradise as described by the Messenger of Allah [Prophet Muhammad], chapter 21, About the Smallest Reward for the People of Paradise, (Hadith 2687). The same hadith is also quoted by Ibn Kathir (died 1373 CE ) in his Koranic commentary (Tafsir) of Surah Al-Rahman (55), verse 72: "The Prophet Muhammad was heard saying: 'The smallest reward for the people of paradise is an abode where there are 80,000 servants and 72 wives, over which stands a dome decorated with pearls, aquamarine, and ruby, as wide as the distance from Al-Jabiyyah [a Damascus suburb] to Sana'a [Yemen]'."Mimi sijasoma hayo, unaweza kuweka ushahidi wa Qur'an? Au ni fikra zako tu?
Nimekuelewa tayari..shukraniSasa unapingana na mada yako mwenyewe?
Makubwa haya.
Kumbe unaleta "traditions" si maana yake mila za watu hiyo "tradition"?It is in the Islamic Traditions that we find the 72 virgins in heaven specified: in a Hadith (Islamic Tradition) collected by Al-Tirmidhi (died 892 CE [common era*]) in the Book of Sunan (volume IV, chapters on The Features of Paradise as described by the Messenger of Allah [Prophet Muhammad], chapter 21, About the Smallest Reward for the People of Paradise, (Hadith 2687). The same hadith is also quoted by Ibn Kathir (died 1373 CE ) in his Koranic commentary (Tafsir) of Surah Al-Rahman (55), verse 72: "The Prophet Muhammad was heard saying: 'The smallest reward for the people of paradise is an abode where there are 80,000 servants and 72 wives, over which stands a dome decorated with pearls, aquamarine, and ruby, as wide as the distance from Al-Jabiyyah [a Damascus suburb] to Sana'a [Yemen]'."
UNAPINGANA NA MUHAMAD?
Kama unajua kila kitu haina hajaKama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
badilisha lugha ya mada. ili wewe ukae upande wa kutetea.Nimekuelewa tayari..shukrani
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Kwanini mkipewa dhamana mnaahirisha kufikiri kwa nafsi, a.k.a kujizima data, (suspending individual reasoning)yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Bibi... mimi nimetokea kukuelewa sana.. umeolewa ? I mean uliolewa ?Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe ki mdahalo (debate), wakati wowote.
Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.