Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Muolewaji ndo mwenye maamuzi , kama hayuko tyr tafuta mwingine mwenye utayari ndo umuoe kikubwa asiwe Single mother wala Limshangazi . Kheri upate ambaye ametoa mimba kwa ajili ya kulinda umbo lake kuliko kuoa mzazi ..
Narudia oa ambaye hana mtoto na asiyekuzidi umri.
 


MKUU mwili ni base time kadri miaka inapanda juu mwili na activities zake zote za NDANI zinapungua πŸ‘‰me siongelei physical appearance yako


Kikubwa hapa ni Nguvu Mkuu sawa utakua unaonekana young ila Nguvu za mwili zinakua chini Sana

Mwenzako ana 50 we umegonga 60 ........... Mbali Sana hapa atakusumbua na at this age wanawake Ndio huwa na appetite ya kucheat kwa kiwango kikubwa na wewe unakua umeshachoka kinguvu
 
Kuna wa kando anamkubali. Ilishawahi nitokea hivo
 
Mshukuru MUNGU, anakuepusha na uamuzi mbaya . Usioe kwa ajili
1. Ww umri umeenda.
2. Kwa sababu katulia, huyo hajatulia hana tu options. ( Akitoka kushona hana mambo mengine) Ngoja ayapate. Angekuw ana options lakin bado kachagua kuto kuzifata βœ”οΈ.

Bro, usio vibinti 19-24, wengi bado wanataka ku exprole ulimwengu, ikifika ktk 27+ Kuna rangi za ajabu unaweza kuziona.

Usioe mwanamke anaye jitafuta, fukara, anaweza olewa nawe sababu ya ku survive GET READY SURVIVAL MODE IKIISHA.

Relax take your time, nenda taratibu kaka, mahusiano, divorce zinaacha alama kali akilini na mostly wanaume wanamengi ya kupoteza
 
Ni kawaida hyo mim mwenyew nipo kwenye late 20's lakin wadada weng wanajua nipo na miaka 24 au 25 huw nawatania unajua mm ni kaka yenu hawaamini, utani mwing sana lakin iko hivi mwanaume usije ukajichanganya kuoa mwanamke unayelingana naye umri yaan wanazeeka haraka sana hawa viumbe!!!
 
kwa mwanaume na mwanamke si kubwa sana.

Muangalie Majizo na Lulu Michael. Mfano mwingine, JK, na Nyalandu wamewazidi wake zao miaka zaidi ya 10.
Huyu haelewi kuwa zana ya mwanamke ni kuzeeka haraka kuliko mwanaume... Mimi baba yangu alimzidi mama miaka 10+...leo hii mama ndo ana mvi nying kichwani na huku mkoani nilipo kwa wanyakyusa wana miili mikubwa mno yaan unakuta litoto la 2005 au 2006 unaweza kulisalimia ukijua ni limama jitu zima kumbe litoto tu!!! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu huna point kaa kimya tu.... Ng'ombe hazeeki maini na ndo maana Mzee Machache alimuoa Jackline Ntuyabaliwe bila hiyana😁😁😁....
 
Mimi 29 ila kimuonekano unaweza jua 24 mpaka nikulazimishe sana ndio ukubali 29
tatizo utoto ndio unakusumbua, nini sasa hiki umeandika? Huyo dem ashaona hawezi kuolewa na mlamba lips wa makumbusho kazi kuvaa vinjubga, socks ndefu na yeboyebo na kufuga mandevu kama taliban
 
Hivi ni kushona nguo au kushona cherehani? Anatoa sababu gani ya kukataa?
 
20 yrs si mwanamke ni mtoto wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…