Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

Kuna shabiki wa Yanga aliahidi Simba akiingia robo fainali anampa mwandishi milioni moja. Ahahahahaha!!!

Sasa mwandishi kamfuata jamaa anadai Simba bado hajafuzu! Ahahahahaha! Ila inawezekana hela hana,
imeishia kwenye kununua kalikuleita! Ahahahahaha!!

Acheni blah blah bhana!
Ninyi si mnahakika. Wekeni pesa tukalipie Ada Sisi
 
Mbowe akishinda kweli ulikua mchuano … Lissu akishinda ni mchezo wa kisiasa .
 
Kwa nini Mkuu?
Mbowe anabanwa na makubaliano aliyoingia na Wazee kuna vipengele vinamminya hawezi akaamka akasema mimi leo sio mwenyekiti …sasa mtu pekee ambaye hakuwepo na hakushiriki ni LISSU na njia pekee kumtoa kwenye kiti ni uchaguzi … Lissu hana base CHADEMA ya kumtoa Mbowe kwa uchaguzi na ni very loyal kwa Mbowe ikitokea ameshinda ni planned.
 
Back
Top Bottom