Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #101
Kuna shabiki wa Yanga aliahidi Simba akiingia robo fainali anampa mwandishi milioni moja. Ahahahahaha!!!
Sasa mwandishi kamfuata jamaa anadai Simba bado hajafuzu! Ahahahahaha! Ila inawezekana hela hana,
imeishia kwenye kununua kalikuleita! Ahahahahaha!!
Mbowe akishinda kweli ulikua mchuano … Lissu akishinda ni mchezo wa kisiasa .
Ahahahahaha! Sisi wenyewe tunaitafuta hiyo ada. Simu za Walimu hatupokei! Ahahahahaha!!Acheni blah blah bhana!
Ninyi si mnahakika. Wekeni pesa tukalipie Ada Sisi
Mbowe anabanwa na makubaliano aliyoingia na Wazee kuna vipengele vinamminya hawezi akaamka akasema mimi leo sio mwenyekiti …sasa mtu pekee ambaye hakuwepo na hakushiriki ni LISSU na njia pekee kumtoa kwenye kiti ni uchaguzi … Lissu hana base CHADEMA ya kumtoa Mbowe kwa uchaguzi na ni very loyal kwa Mbowe ikitokea ameshinda ni planned.Kwa nini Mkuu?
Mbona haukunipa utaratibu Kaka ?Acheni blah blah bhana!
Ninyi si mnahakika. Wekeni pesa tukalipie Ada Sisi
Chadema kumenoga kwa sasa itawapa watu pesa, makamanda peoplesssssssssss.Poa; utaratibu tuufanyaje? Tumkabidhi mshana jr mshiko; ni either Ccm wanauvuruga au Mbowe anashinda