Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

Lissu watamjua wapi huko Nakonde? Nakonde ni kama Nanjilinji tuu watajuaje mtu wa kiwango cha Lissu anayejadiliwa Aljazera, CNN na Reuters?
Acha masihara bibie!
Akijadiliwa cnn na aljazera ndio anakuwaje?
 
Magufuli anaishi na ataishi vizazi mpaka vizazi.

kuna watu wanajitahidi kumchafua lakini hachafuki.

kina kigogo2014 and the likes hawaandiki sentensi bila kumtaja chezea JPM wewe.

Atakumbukwa daima.
 
Wanamuulizia marehemu? Waambie yupo futi 6 chini hana mabodigadi tena? Waambie wenye mavi yao sasa wanapeta mtaani kwa raha zao
 
Hitler mpaka leo watu wanamkumbuka sii kwamazuri aliyoyafanya bali kwa ukatili, mauwaji na mambo mengi maovu aliyeyatenda. Hata sisi hivi hivi tunamkumbuka
huyu jamaa aliniudhi kushindwa ile vita bora angeshinda na kuendelea kututawala huwenda akili zetu zingekaa sawa uvivu na maneno mengi yangeisha tungekuwa na uwezo wa kujaribu na kufanya na sio uoga tulionao.
 
JPM hatasahaulika kwa watanzania kwa kuwafanyia mazuri mengi . Mungu ampe raha ya milele na mwanga wa milele umuangazie
 
Back
Top Bottom