Nipo Zambia, kila Mzambia ananiulizia habari za Rais Magufuli

That’s according to your points of view, but all in all, whom you define as chosen ones are also no longer existing in this world, when I speak of immortality, initially I don’t mean physically but Ideological kind of immortality. Just imagine mpaka leo watu wanamzungumzia Nyerere, Karume, Makavelli and now Magufuli conjoined with the legends.

Not everything in this world is religious oriented, imani ndio chanzo cha yote, mi naamini Magu ni immortal. Mind your faith.
Watu bado wanaendelea kuwazungumzia akina Adolf Hitler, Iddi Amin kwa hiyo kwa mtazamo wako kwa kuwa wanazungumziwa nao ni immortals
 
NIPO ZAMBIA,KILA MZAMBIA ANANIULIZIA HABARI ZA RAIS MAGUFULI.

Nipo Zambia now kununua Soyabeans,JPM anakubalika vibaya mno (kumbuka tenda ya kuuza Soyabeans alituombea JPM mwezi Wa 12 mwaka Jana kwa Waziri Wa mambo ya nje Wa China alipozuru Tanzania- ambapo China ilikubali kuijumuisha Tanzania kama muuzaji Wa Soya bean kwao na kwa Africa zimepewa tenda hiyo nchi tatu tu Tanzania, Ethiopia na Benin na kwa mwaka inatakiwa kuiuzia China tani milioni tatu hivyo sababu sisi hatulimi soya kwa sana JPM alituombea kwa Zambia na Malawi waturuhusu watz kufata soya huko,Pia JPM alituombea soko la kuiuzia Soya na Ufuta nchi ya India lakini sababu watanzania ni wazembe fursa hizo zimechangamkiwa na wakenya,wakenya ndo wamejaa huku).

..last week nilikosea mpaka-sheria ya Zambia mwisho kwa Watanzania kufanya biashara na shughuli zao pale Zambia ni SAA tatu usiku vinginevyo uwe na vibali,so sikujua makazi tumeweka Tunduma boda majuzi nikatoka kwenda kutembea nikakamatwa nilipofikishwa kituo kidogo cha police pale nakonde nikahojiwa kisha nikapelekwa kituo kikubwa Nakonde Police Central ni kama Oysterbay police au central police watuhumiwa walikuwa wengi mno waethiopia,wasomali,wanyarwanda na wengine cha kushangaza Police walipokuwa wanachukua Maelezo yangu wakagundua kuwa kuwa Mimi ni MTz wenyewe wanatuita "waswahili"(waliniachia baada ya kunipa kosa la Shishita nasio migration case)

Wakaanza kuniuliza habari za JPM huku wakimponda President wao Mr Edgar Lungu wenyewe wanamfananisha JPM na marais wao wazamani Marehemu Sata na Mwanawasa wengine Kaunda,rupia banda,chiluba wanadai walikuwa wezi na walijenga kwenye nchi zao "kumbuka Zambia inadaiwa haijawahi kuongozwa na mzawa"wazambia hata ukikakaaa nao mitaani wakigundua wewe ni mtanzania story zao ni kumsifia JPM hata boda ya Tunduma upande Wa Tanzania na Zambia aliijenga kisasa yeye na mpaka lami akaweka Hadi Zambia ila lungu akashindwa kumalizia, wenzetu Hadi mahabusu,saloon,machinga,mamalishe wanafatilia siasa huwaambii kitu kuhusu JPM na hii nimeikuta pia Malawi pia kwenye Soya kuanzia Kasumulo boda Hadi Malawi.

Wamalawi wanamkubali rais wao mmoja tu Marehemu Bingu Wa Mutharika wao wanaamini aliuawa kwa sumu na wazambia pia wanaamini Dr.Levy Mwanawasa na Michael Sata waliuawa kutokana na misimamo yao.

JPM ni gumzo kwa wenzetu kuanzia Nakonde Region, Kitwe, Ndola, Kapimposhi, Mkushi, mpaka Lusaka JPM ni gumzo
Ungewaambia alikufa kwa ujeuri wake!
 
Hata hapa nje ya JF Magufuli ni masiha. Subiri mwaka mmoja upite, wote michadema itamgeukia. Vuta subra mkuu
Masiha wa Lumumba, hata kangi Lugola alupata kunena hivyo.
 
Ni uongo na hamna kitu Kama hicho waislamu wanaamini kwamba alikuwepo nabii ISSA .

alafu akafa akafufuka ama bado hatupo pamoja? Naheshimu Dini za watu wengine na nisingependa iwe mjadala mkubwa bali mfano hai tu wa swala hili, kuendeleza mjadala wa dini iwe kwako mwenyewe
 
Waambia nasi tunajivunia sana maisha yake.Hakika alikuwa shujaa wa Afrika na nembo ya Utawala bora na Ushupavu.
 
JPM alikua Kiongozi mfano wa kuigwa nchi nyingi Afrika walituonea gere
 
Ni haki yako

Waeleze hawa wapuuzi kama Sexer ambao bado akili zipo gizani! JPM alikuwa jembe kweli kweli. Huo ndiyo ukweli mkuu
Alikuwa Jembe sawa make tunachomeka mpini pale kwenye tundu, lakini hakuwa masiha labda masiha wa Lumumba, umesikia we pimbi
 
Tumepoteza hazina kubwa sana kama Taifa. Hata wanaopinga kimoyomoyo wanakubali. Hakuna mwanadamu aliekamilika kila mtu ana mapungufu yake ila JPM tumepoteza jembe.
 
NIPO ZAMBIA,KILA MZAMBIA ANANIULIZIA HABARI ZA RAIS MAGUFULI.

Nipo Zambia now kununua Soyabeans,JPM anakubalika vibaya mno (kumbuka tenda ya kuuza Soyabeans alituombea JPM mwezi Wa 12 mwaka Jana kwa Waziri Wa mambo ya nje Wa China alipozuru Tanzania- ambapo China ilikubali kuijumuisha Tanzania kama muuzaji Wa Soya bean kwao na kwa Africa zimepewa tenda hiyo nchi tatu tu Tanzania, Ethiopia na Benin na kwa mwaka inatakiwa kuiuzia China tani milioni tatu hivyo sababu sisi hatulimi soya kwa sana JPM alituombea kwa Zambia na Malawi waturuhusu watz kufata soya huko,Pia JPM alituombea soko la kuiuzia Soya na Ufuta nchi ya India lakini sababu watanzania ni wazembe fursa hizo zimechangamkiwa na wakenya,wakenya ndo wamejaa huku).

..last week nilikosea mpaka-sheria ya Zambia mwisho kwa Watanzania kufanya biashara na shughuli zao pale Zambia ni SAA tatu usiku vinginevyo uwe na vibali,so sikujua makazi tumeweka Tunduma boda majuzi nikatoka kwenda kutembea nikakamatwa nilipofikishwa kituo kidogo cha police pale nakonde nikahojiwa kisha nikapelekwa kituo kikubwa Nakonde Police Central ni kama Oysterbay police au central police watuhumiwa walikuwa wengi mno waethiopia,wasomali,wanyarwanda na wengine cha kushangaza Police walipokuwa wanachukua Maelezo yangu wakagundua kuwa kuwa Mimi ni MTz wenyewe wanatuita "waswahili"(waliniachia baada ya kunipa kosa la Shishita nasio migration case)

Wakaanza kuniuliza habari za JPM huku wakimponda President wao Mr Edgar Lungu wenyewe wanamfananisha JPM na marais wao wazamani Marehemu Sata na Mwanawasa wengine Kaunda,rupia banda,chiluba wanadai walikuwa wezi na walijenga kwenye nchi zao "kumbuka Zambia inadaiwa haijawahi kuongozwa na mzawa"wazambia hata ukikakaaa nao mitaani wakigundua wewe ni mtanzania story zao ni kumsifia JPM hata boda ya Tunduma upande Wa Tanzania na Zambia aliijenga kisasa yeye na mpaka lami akaweka Hadi Zambia ila lungu akashindwa kumalizia, wenzetu Hadi mahabusu,saloon,machinga,mamalishe wanafatilia siasa huwaambii kitu kuhusu JPM na hii nimeikuta pia Malawi pia kwenye Soya kuanzia Kasumulo boda Hadi Malawi.

Wamalawi wanamkubali rais wao mmoja tu Marehemu Bingu Wa Mutharika wao wanaamini aliuawa kwa sumu na wazambia pia wanaamini Dr.Levy Mwanawasa na Michael Sata waliuawa kutokana na misimamo yao.

JPM ni gumzo kwa wenzetu kuanzia Nakonde Region, Kitwe, Ndola, Kapimposhi, Mkushi, mpaka Lusaka JPM ni gumzo
JPM 4 forever

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom