Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweza wakawa kama Wamakonde wa Cabo Dergado ambao mpaka leo bado wanaulizia habari za Nyerere.Kwani hawajui.
NIPO ZAMBIA,KILA MZAMBIA ANANIULIZIA HABARI ZA RAIS MAGUFULI.
Nipo Zambia now kununua Soyabeans,JPM anakubalika vibaya mno( kumbuka tenda ya kuuza Soyabeans alituombea JPM mwezi Wa 12 mwaka Jana kwa Waziri Wa mambo ya nje Wa China alipozuru Tanzania- ambapo China ilikubali kuijumuisha Tanzania kama muuzaji Wa Soya bean kwao na kwa Africa zimepewa tenda hiyo nchi tatu ty Tanzania, Ethiopia na Benin na kwa mwaka inatakiwa kuiuzia China tani milioni tatu hivyo sababu sisi hatulimi soya kwa sana JPM alituombea kwa Zambia na Malawi waturuhusu watz kufata soya huko,Pia JPM alituombea soko la kuiuzia Soya na Ufuta nchi ya India lakini sababu watanzania ni wazembe fursa hizo zimechangamkiwa na wakenya,wakenya ndo wamejaa huku).
..last week nilikosea mpaka-sheria ya Zambia mwisho kwa watanzania kufanya biashara na shughuli zao pale Zambia ni SAA tatu usiku vinginevyo uwe na vibali,so sikujua makazi tumeweka Tunduma boda majuzi nikatoka kwenda kutembea nikakamatwa nilipofikishwa kituo kidogo cha police pale nakonde nikahojiwa kisha nikapelekwa kituo kikubwa Nakonde Police Central ni kama Oysterbay police au central police watuhumiwa walikuwa wengi mno waethiopia,wasomali,wanyarwanda na wengine cha kushangaza Police walipokuwa wanachukua Maelezo yangu wakagundua kuwa kuwa Mimi ni MTz wenyewe wanatuita "waswahili"(waliniachia baada ya kunipa kosa la Shishita nasio migration case)
Wakaanza kuniuliza habari za JPM huku wakimponda President wao Mr Edgar Lungu wenyewe wanamfananisha JPM na marais wao wazamani Marehemu Sata na Mwanawasa wengine Kaunda,rupia banda,chiluba wanadai walikuwa wezi na walijenga kwenye nchi zao "kumbuka Zambia inadaiwa haijawahi kuongozwa na mzawa"wazambia hata ukikakaaa nao mitaani wakigundua wewe ni mtanzania story zao ni kumsifia JPM hata boda ya Tunduma upande Wa Tanzania na Zambia aliijenga kisasa yeye na mpaka lami akaweka Hadi Zambia ila lungu akashindwa kumalizia,wenzetu Hadi mahabusu,saloon,machinga,mamalishe wanafatilia siasa huwaambii kitu kuhusu JPM na hii nimeikuta pia Malawi pia kwenye Soya kuanzia Kasumulo boda Hadi Malawi...
Wamalawi wanamkubali rais wao mmoja tu Marehemu Bingu Wa Mutharika wao wanaamini aliuawa kwa sumu na wazambia pia wanaamini Dr.Levy Mwanawasa na Michael Sata waliuawa kutokana na misimamo yao...
JPM ni gumzo kwa wenzetu kuanzia Nakonde Region, Kitwe,Ndola,Kapimposhi,Mkushi, mpaka Lusaka JPM ni gumzo
Comments za watu ambao hawafiki hata 20 wanaomuongelea vibaya jpm hapa jf na hao hao ndio wanaozunguka kwenye kila thd inayomuhusu jpm, ndio wanawasilisha watz wote?Uwaonyeshe na hizi comments
Umenichekesha aisee, kwa hiyo sasa ivi vidikteta vinaibuka tu vya kila aina Mara vibibi,vimama,Dikteta mwenzake yupo
[emoji3581]Uwaonyeshe na hizi comments
Yeah, it's a pattern.Naona nyuzi za propaganda zimeshamiri humu! Kule wanasema Mbowe kaua, huku mnasema wazambia na shujaa wenu.
Achana na hawa vinuka mkojo wanajaribu kuponda hapa na pale.....JPM alikuwa jembe
Sijui watapataje kura bila kumsujudu, acha watukane mitandaoni siku wakiingia field ndo wataelewa "wananchi" ni akina nani..Hata hapa nje ya JF Magufuli ni masiha. Subiri mwaka mmoja upite, wote michadema itamgeukia. Vuta subra mkuu
JPM lilikuwa jembe!Sijui watapataje kura bila kumsujudu, acha watukane mitandaoni siku wakiingia field ndo wataelewa "wananchi" ni akina nani..