Nisaidie kifupi cha hiki chama: Chama Cha Matajiri na Masikini

Nisaidie kifupi cha hiki chama: Chama Cha Matajiri na Masikini

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Asalaam!
Ndugu wana jf, tafadhari nina mpango wa kuanzisha chama cha siasa nisaidieni, nipate kifupi cha hayo maneno hapo juu. Naogopa kubanwa na Msajili wa vyama vya siasa nchini. Chama Cha Matajiri na Masikini.

Ni hayo tu natanguliza shukrani

Wadiz.
 
Back
Top Bottom