BROTHER OF BROTHERS
Senior Member
- Jun 30, 2013
- 113
- 159
Kuanzia 2008 mpka leo haujajua chakufanya😔Habari yako mwana JF,
Kwa Imani yangu Kubwa kwenu Bila kujali Naomba utaratibu wa kuweza kurudia Masomo Yangu ya kidato Cha nne. Mimi nilihitimu Mwaka 2008 na matokeo Yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata Dv IV ya point 28 na hii ilitokea Baada ya kufiwa na Baba yangu mzazi Wiki Moja kabla ya Necta Kwa Muda mrefu Sasa natamani kurudia paper Tafadhali Naomba Mnisaidie Kama naweza ku reseat ili nifanye hivyo.na kama Haifai Kwa mapenzi Mema nishauri nifanye nini. Naomba kuwasilisha.
Nenda necta,Elimu Haina mwisho ruksa kurudiaHabari yako mwana JF,
Kwa Imani yangu Kubwa kwenu Bila kujali Naomba utaratibu wa kuweza kurudia Masomo Yangu ya kidato Cha nne. Mimi nilihitimu Mwaka 2008 na matokeo Yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata Dv IV ya point 28 na hii ilitokea Baada ya kufiwa na Baba yangu mzazi Wiki Moja kabla ya Necta Kwa Muda mrefu Sasa natamani kurudia paper Tafadhali Naomba Mnisaidie Kama naweza ku reseat ili nifanye hivyo.na kama Haifai Kwa mapenzi Mema nishauri nifanye nini. Naomba kuwasilisha.
Yaani toka 2008, haha Fika 40-59 kweli??Afu brother of brothers 🤔
Anyway,mi nashauri tafuta mishe tu za kufanya....hizi reset hiz utazeekea humo mkuu
Niongee au nikae kimya?Kila la kheri mkuu
Anataka kusafisha cheti sio mbaya tumuache.mkuu naomba Niku ulize swali, una taka urudie mtihani kwa sababu zipi?
👉Uboreshe matokeo tu.
👉Uji endeleze ki elimu
👉Au Umeona elimu ndo njia pekee ya wewe kutoboa??
👉Ila 2008 mhhh, Miaka 13 Ime pita, hau jafika 40 kweli🤔🤒
👉Mimi mwenzio sijawai enda shule, but still nakomaa na mtaa.
Ongea tu😌Niongee au nikae kimya?
Kweli kila la kheri!Kila la kheri mkuu
Am mad. Ulizingua leo asubuhi. Hujanishtua.Ongea tu😌
Barikiwa sanaPole kwa kumpoteza mzazi.
Kawa kijeba!2008 utakua na 32-35 hivi mkuu.
Nashauri ungeendeleza tu mishe nyingine. Kufanya pepa la form 4 ishapita miaka 15 sikushauri.
Nimepiga honi mara kibao nikaona kimya🤷♀️🤷♀️Am mad. Ulizingua leo asubuhi. Hujanishtua.
Tubarikiwe sote mamaBarikiwa sana