Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

angalia masomo unayotaka kurudia,tafuta kituo kizuri chakufanyia mtihani,utalipia kituo kama muda wa usajiri umefika watakupa reference number,utaenda nayo posta ulipo,watakupa control number ukalipie mtihani,endelea kula pindi,kama muda bado endelea kula pindi,kama unataka kurudia PHYSICS,CHEM NA BIOLOGY,mwalimu nipo hapa ukifeli wewe ni nunda,ila nalipwa pesa sio hela
 
Lakini Kama wadau walivyosema hapo juu ni Bora ungeipambinia kuiboresha hiyo Diploma if ur not employed but if ur employed unaweza rudia mtihani ili uje usome degree kupitia six so kuwa makini Sana na maamuzi yako
KITU AMBACHO INABIDI MUELEWE KWA MATOKEO YAKE HAWEZI KUENDELEA BACHELOR LICHA YA KWAMBA ANA DIPLOMA
 
Acha ufinyu wa akili fikiria nje ya box tafuta hela achana na shule
 
Ninafanya ujasiriamali kaka ila natamani ku reset angalau niwe na C3-5 Si lazima nipate Kazi ya Gvt

Kwa Sasa Nina 35 yrs Ninataka niboreshe matokeo Kwani pia Nina Diploma ya IT ila naona Sina Amani Rohoni.
uboreshe ili iweje ukifanya chini ya masomo saba vyeti haviungwi na hata ukiwa na C nne cheti kitaandikwa division 4 utakua na vyeti viwili,
 
KITU AMBACHO INABIDI MUELEWE KWA MATOKEO YAKE HAWEZI KUENDELEA BACHELOR LICHA YA KWAMBA ANA DIPLOMA
yaan div four ya 28 ukose pass masomo manne ya kwenda degree haingii akilini iyo, alisoma diploma labda chuo cha uchochoroni sheria ukiruhisiwa kusoma certificate ukiwa na pass nne unaenda diploma mpaka degree iyo diploma alisomaje
 
Usikate tamaa kusoma hakuangalii umri, nenda necta uwasikie wanasemaje! Au fanya QT
 
Habari yako mwana JF,
Kwa Imani yangu Kubwa kwenu Bila kujali Naomba utaratibu wa kuweza kurudia Masomo Yangu ya kidato Cha nne. Mimi nilihitimu Mwaka 2008 na matokeo Yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata Dv IV ya point 28 na hii ilitokea Baada ya kufiwa na Baba yangu mzazi Wiki Moja kabla ya Necta Kwa Muda mrefu Sasa natamani kurudia paper Tafadhali Naomba Mnisaidie Kama naweza ku reseat ili nifanye hivyo.na kama Haifai Kwa mapenzi Mema nishauri nifanye nini. Naomba kuwasilisha.
Nenda veta kajifunze ufundi, cheti cha F IV unacho tayari na umri umeenda.
 
Ili iweje mkuu..

Mbona umefaulu hata hivyo.
 
NINGEPENDA Nikushauri kama Ifuatavyo.


1. Pole sana Kwa KUPOTEZA Mzazi mama yako.

2. ELIMU Haina Mwisho
Ila Muda ni ADUI yetu mkubwa sana.

3. Ulichelewa sana KURUDIA Mtihani Angalau Mwaka 2009 ungerudi kidato Cha pili kwa LENGO la KURUDIA Mtihani WA NECTA 2011.

4. Najua sana Thamani ya Cheti Cha kidato Cha Nne lakini sikushauri hata KURUDIA Mtihani MATOKEO yako si Mabaya sana Angalau ungekuwa na devison 0 ningekushauri ukasome UPYA .


5. NENDA kasome certificate na Diploma. Tafuata kazi baadaye utaendelea na Degree ukifika 40.

NAKUTAKIA KILA LAKHERI
Ukihitaji ushauri zaidi karibu PM.
 
Back
Top Bottom