Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

Nina fanya ujasiriamali kaka pia nilisoma DIPLOMA YA IT sema nataka kuboresha matokeo tuu wala Sina Kiherehere Cha Ajira kama wanavyowaza watu Wengi hapa.

35 December nitagonga 36yrs mkuu
Classmate hapo ikifika January - March 2024 tafuta kituo kilicho karibu na wewe ujiandikishe kufanya mtihani mwezi November 2024.

Kila la heri classmate na pole pia kwa mapito, binafsi nilipata daraja la kwanza mwaka huo.
 
Nataka nitupe kile cheti Cha awali mkuu unajua St. Kayumba za 2000 zilikuwa Hovyo Sana, hv Sasa naweza Kusoma Bila kwenda Shuleni na nikapasua Kwbisaa
Lengo lako ni nini hasa, maana sidhani kutupa cheti Cha awali kunaweza kuwa lengo lako! Yani baada ya kupata hizo C 5 Unategemea kuzifanyia nini? Maana kama kujiendeleza kwa hapo ulipofikia(dip it) unaweza?
 
Classmate hapo ikifika January - March 2024 tafuta kituo kilicho karibu na wewe ujiandikishe kufanya mtihani mwezi November 2024.

Kila la heri classmate na pole pia kwa mapito, binafsi nilipata daraja la kwanza mwaka huo.
Hongera Sana Shujaa najua watu wa 2008 wengi wapo kwenye mfumo Mungu akubariki Nitafanya hivyo Bila Kusita
 
Sasa Nina 35 mkuuu pia Nina family ya Mke na Mtoto mmoja Hali Kutoka Kwa Mungu pia amekubali nisome[emoji849]
Kama wewe binafsi unatamani kurudia fanya kile kinachokupendeza ingawa kiuhalisia kwa umri wetu 30+ jumlisha stress za maisha, kazi na familia itakuwa mzigo mkubwa kwako. Unaweza kuta unarudia ila mambo yanakuwa kama zamani
 
Hata Mwl Mtei alichangia Sana Mimi kufeli Pale St kayumba manake aliniambia nisome art's Mapema Pale form III nisingepata hii Dv Mungu anamuona pia alituonea Sana kwenye Somo la Chemistry
 
Habari yako mwana JF,
Kwa Imani yangu Kubwa kwenu Bila kujali Naomba utaratibu wa kuweza kurudia Masomo Yangu ya kidato Cha nne. Mimi nilihitimu Mwaka 2008 na matokeo Yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata Dv IV ya point 28 na hii ilitokea Baada ya kufiwa na Baba yangu mzazi Wiki Moja kabla ya Necta Kwa Muda mrefu Sasa natamani kurudia paper Tafadhali Naomba Mnisaidie Kama naweza ku reseat ili nifanye hivyo.na kama Haifai Kwa mapenzi Mema nishauri nifanye nini. Naomba kuwasilisha.
Hivi Kwa credit ulizo naxo huwezi kwenda kusoma Chuo , course za Diploma, then uje ufanye degree.
Au Uende open unversty ufanye foundation course then unaenda kufanya degree
 
Back
Top Bottom