Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

Kuanzia 2008 mpka leo haujajua chakufanya😔
Ninafanya ujasiriamali kaka ila natamani ku reset angalau niwe na C3-5 Si lazima nipate Kazi ya Gvt
mkuu naomba Niku ulize swali, una taka urudie mtihani kwa sababu zipi?
👉Uboreshe matokeo tu.
👉Uji endeleze ki elimu
👉Au Umeona elimu ndo njia pekee ya wewe kutoboa??
👉Ila 2008 mhhh, Miaka 13 Ime pita, hau jafika 40 kweli🤔🤒

👉Mimi mwenzio sijawai enda shule, but still nakomaa na mtaa.
Kwa Sasa Nina 35 yrs Ninataka niboreshe matokeo Kwani pia Nina Diploma ya IT ila naona Sina Amani Rohoni.
 
Lengo ni nini haswa? Kama ni kujiendeleza nenda kajiendeleze kwa kuanzia ngazi ya certificate
Fursa ni nyingi za kujiendeleza unaweza kwenda kujiunga open University unaendelea na shughuli zako za utafutaji huku unasoma hadi unatimiza malengo
 
Ninafanya ujasiriamali kaka ila natamani ku reset angalau niwe na C3-5 Si lazima nipate Kazi ya Gvt

Kwa Sasa Nina 35 yrs Ninataka niboreshe matokeo Kwani pia Nina Diploma ya IT ila naona Sina Amani Rohoni.
Dah una shangaza na kuchekesha Sana, una diploma ya it ila still una ogopa??
👉Oyaa SI wengine tuna komaa, kuzisoka na ku decode michongo ya mtaani
👉 Kikubwa nidhamu, connection na wewe kuwa smart worker.
 
Habari yako mwana JF,
Kwa Imani yangu Kubwa kwenu Bila kujali Naomba utaratibu wa kuweza kurudia Masomo Yangu ya kidato Cha nne. Mimi nilihitimu Mwaka 2008 na matokeo Yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata Dv IV ya point 28 na hii ilitokea Baada ya kufiwa na Baba yangu mzazi Wiki Moja kabla ya Necta Kwa Muda mrefu Sasa natamani kurudia paper Tafadhali Naomba Mnisaidie Kama naweza ku reseat ili nifanye hivyo.na kama Haifai Kwa mapenzi Mema nishauri nifanye nini. Naomba kuwasilisha.
Mkuu pole sanaaa sanaaa....ila Kwa Sasa jikite kwenye kutafuta PESA NDIO kiwe kipa ombele hayo mengine achana nayo......

achana na mambo ya VYETI
 
Mleta mada umeambiwa mbinguni huingii hadi ule na credit pass za form 4???
Mbona kuna mambo mengi ya kufanya miaka zaidi ya 13 tangu umalize shule hakuna mishe uliyoiona nje ya kuresit?
Nina fanya ujasiriamali kaka pia nilisoma DIPLOMA YA IT sema nataka kuboresha matokeo tuu wala Sina Kiherehere Cha Ajira kama wanavyowaza watu Wengi hapa.
Yaani toka 2008, haha Fika 40-59 kweli??
35 December nitagonga 36yrs mkuu
 
Back
Top Bottom