Nisaidieni: 5mil Kuanzia biashara

aha ahahha,si watafanya walichokubaliana? G alikuwa anataka kuku lakini binti ana biashara nyingi,nawe xpin kama unataka sema
tumeongea siriaz businec jamani!...........
 
jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,mungu awabariki sana

wewe ni wa kule kwetu kiraracha? Mista hana pwenti za kukupa za kibiashara?
 
1. Namsapoti Masaki, fanya/endeleza biashara unayoijua.
2. Kwa historia yako hiyo wewe ni mjasiria mali tayari.
3. Soko lakuku wakienyeji lipo sana, hata la laptop, perfume - soko sio tatizo.
4. Biashara yako inaweza kukua ILA tu
a. Umejigawa, huku kazi huku biashara, unakuwa roborobo kila mahali matokeo yake concetration ya "business development" kwa kila biashara inapungua au haipo kabisa.
b. biashara inakuwa unapoifanya kwa malengo ya kukua, malengo yaendane na mipango ya kufikisha, kupata mahitaji yakukufikisha, labda nitumia mfano rahisi kama ifuatavyo,
Ni lazima ujue unataka kusafiri kwenda wapi, ndipo utajua utumie usafiri gani, na ndipo utaangalia gharama zake halafu utapanga unapataje hayo mapesa ya kulipia hizo gharama. Kama ni mabasi, ukifika pale Ubungo terminal, ni lazima ujue unakokwenda ili ujue unapanda basi la kwenda wapi na nauli yake, labda hela ya kula njiani, labda usinywe bia nyingi ikabidi usumbue kupunguza maji njiani kila mara (madereva wa safari za mbali hawapendi!!!!!) n.k. n.k. n.k.

Kwa kifupi, panga kuongeza biashara yako lakini tafuta silaha zake, ikibidi uache kazi kama ndio moja ya silaha.





 
thx dear will do as sajested,thx for advice
 
and who says so!!!!!!!!!!!! humu ndani wadumisha mila sio Goeff na Xpin tu!!! wengine wanafanya silently.

mpwa NL wewe je???? dont tell me u dont maana even KKaizer (mzee wa kigangoni)is in the list

He !Hizi Allegations nilikuwa sijaziona!makubwa hii ndo bizness plan ya Lulueeh! LOL! bht!πŸ™„πŸ˜€
 
allegations?? na zimethibitishwa


u dont need to zako zipo kenye mafaili tayari

dah, I hereby deny any suggestions that 'zimethibitishwa' B! vehemently!
 
@pearl
hiyo pesa si haba ukijipanga unatoka kabisa ata ukiinvest kwenye hao kuku wa kienyeji wanakutoa kabisa mwenyewe najiaandaa kuingia kwenye soko hilo dia sijui mbegu yako ni nzuri na penda makuchi zaidi ila tutawasiliana nitakupa maaidia yakufanya serious
 
Shs 5 Million siyo haba, jaribu kufikiria Internet Cafe bora tu upate site nzuri na provider ambaye ni reliable. Kiasi ulichonacho kunatosha zaidi ya Computer tano used na meza. Hofu labda na wapi utapata ofisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…