Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
tumeongea siriaz businec jamani!...........aha ahahha,si watafanya walichokubaliana? G alikuwa anataka kuku lakini binti ana biashara nyingi,nawe xpin kama unataka sema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumeongea siriaz businec jamani!...........aha ahahha,si watafanya walichokubaliana? G alikuwa anataka kuku lakini binti ana biashara nyingi,nawe xpin kama unataka sema
jamani poleni na majukum,kiukweli mshahara haunitoshi kabisaaaaaaa,natamani nifanye biashara lakini sijui ni ipi,nina kamtaji ka sh m5,nahitaji ushauri wenu,mungu awabariki sana
hahaaaaaaa, nini tiger???
Very good! Kama umeweza kufanya biashara ya kuku wa kienyeji na kujikuta una ''savings'' za 5m basi hiyo si haba! Hata hao akina Bakhresa walianza hivyo hivyo. Kwa sasa, ningekushauri ufikirie jinsi ya kuboresha zaidi hiyo biashara yako badala ya ''ku-diversify''. The devil you know is better than an angel you don't know!
Labda kama umegundua kwamba soko la kuku wa kienyeji haliwezi kukua zaidi hapo lilipo hivyo umeamua kuwekeza kwenye fursa zingine za biashara basi utuambie, kisha tuanzie hapo.
1. Namsapoti Masaki, fanya/endeleza biashara unayoijua.
2. Kwa historia yako hiyo wewe ni mjasiria mali tayari.
3. Soko lakuku wakienyeji lipo sana, hata la laptop, perfume - soko sio tatizo.
4. Biashara yako inaweza kukua ILA tu
a. Umejigawa, huku kazi huku biashara, unakuwa roborobo kila mahali matokeo yake concetration ya "business development" kwa kila biashara inapungua au haipo kabisa.
b. biashara inakuwa unapoifanya kwa malengo ya kukua, malengo yaendane na mipango ya kufikisha, kupata mahitaji yakukufikisha, labda nitumia mfano rahisi kama ifuatavyo,
Ni lazima ujue unataka kusafiri kwenda wapi, ndipo utajua utumie usafiri gani, na ndipo utaangalia gharama zake halafu utapanga unapataje hayo mapesa ya kulipia hizo gharama. Kama ni mabasi, ukifika pale Ubungo terminal, ni lazima ujue unakokwenda ili ujue unapanda basi la kwenda wapi na nauli yake, labda hela ya kula njiani, labda usinywe bia nyingi ikabidi usumbue kupunguza maji njiani kila mara (madereva wa safari za mbali hawapendi!!!!!) n.k. n.k. n.k.
Kwa kifupi, panga kuongeza biashara yako lakini tafuta silaha zake, ikibidi uache kazi kama ndio moja ya silaha.
and who says so!!!!!!!!!!!! humu ndani wadumisha mila sio Goeff na Xpin tu!!! wengine wanafanya silently.
mpwa NL wewe je???? dont tell me u dont maana even KKaizer (mzee wa kigangoni)is in the list
Heeeh...jamani Bht unauliza makofi polisi tena?
kuna kitu hapo chunguza kwa umakini.
He !Hizi Allegations nilikuwa sijaziona!makubwa hii ndo bizness plan ya Lulueeh! LOL! bht!🙄😀
u dont need to zako zipo kenye mafaili tayariDah nimebaki mimi tu kutoa taarifa!
allegations?? na zimethibitishwa
u dont need to zako zipo kenye mafaili tayari
wewe ni wa kule kwetu kiraracha? Mista hana pwenti za kukupa za kibiashara?
dah, I hereby deny any suggestions that 'zimethibitishwa' B! vehemently!
njoo na hako kahela chawote ''TUKAJADILI''
ahaaaaaaaah acha uoga ujatulia kabisaSi ili kama wana mafua ya kuku arudi nao jamani !!!!