Nisaidieni Jinsi ya kupata marafiki

Nisaidieni Jinsi ya kupata marafiki

Umri- 38
Elimu - Masters/ ACPA
Marital status - Married
Hobbies - Watching football (Arsenal and Yanga fan)/movies(actions)/kuhudhuria sehemu za music esp live band
Ewaaaaahhh unaona sasa rafiki, unapenda live band kama mimi.....umenipata mie rafiki ako namba 1
 
sema unaitaji washkaji sio marafiki, marafiki wa kweli ni wale uliokua nao pamoja uko kijijini mkicheza goroli na kuchunga mbuzi pamoja and the like. reconnect with them.!!

hawa wakukutana nao town keep distance for your mental and emotional health, ila kwa vile wabongo ni wabishi endelea unachokitafuta utakipata.
 
Sijui hua muna define vipi neno rafiki

Short, marafiki ni kitu dynamic kuna wakati unakuwanao kuna wakati huna, kuna wakati unakuwa na best friend kuna muda huna kabisa. Kitu ambacho kinabalu constant kuanzia utoto hadi kuzeeka ni washakaji hakuna point ya maisha ikawa huna washakaji, washkaji ni wale aaah nimekaa sana Home unaenda kijiweni unawakuta munapiga stori mada iliyopo hapo hawa ndio washakaji.

Rafiki anajitengeneza natural kutoka kwenye ushikaji na wengi ya watu 90% hawana marafiki kabisa ni washakaji tu, kama mimi sina rafiki kabisa nikienda kijiweni navigation stori na nitaowakuta Leo nitamkuta Shineda, Mussa na Saidi kesho nitawakuta Emma, kipanje na Jaffe hivyohovyo.
 
Uko sawa!ni washkaji tu wa story za hapa na pale
 
uko sawa kabisaa
 
Hujawahi kuwa na marafiki hadi uhitaji mbinu za kupata marafiki?
Nashangaa wote aliokua nao wakiwa watoto,waliosoma nsye ,Kwenye ukoo,anakoabudu,kazini nk kote huko hajawahi Pata Rafiki

Atakuwa na shida kubwa
 
Back
Top Bottom