Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Weka wasifu wako sasa....tujue we ni rafiki wa namna gani.kupiga story kdg, bata kdg, nk
Umri, elimu, kazi, maritual status nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka wasifu wako sasa....tujue we ni rafiki wa namna gani.kupiga story kdg, bata kdg, nk
Hiyo ni interview au selection. 🫠Weka wasifu wako sasa....tujue we ni rafiki wa namna gani.
Umri, elimu, kazi, maritual status nk
Kwahiyo niwe na rafiki anaeniandikia meseji "xema my" "baxi mid"Hiyo ni interview au selection. 🫠
Umri- 38Weka wasifu wako sasa....tujue we ni rafiki wa namna gani.
Umri, elimu, kazi, maritual status nk
Ewaaaaahhh unaona sasa rafiki, unapenda live band kama mimi.....umenipata mie rafiki ako namba 1Umri- 38
Elimu - Masters/ ACPA
Marital status - Married
Hobbies - Watching football (Arsenal and Yanga fan)/movies(actions)/kuhudhuria sehemu za music esp live band
hahahahah!asante sana!utanicheki inbobo kwa mawasiliano zaidi sio!Ewaaaaahhh unaona sasa rafiki, unapenda live band kama mimi.....umenipata mie rafiki ako namba 1
miaka 68,mkulima na mfugaji,std 4 mjerumani,nipo na bibi yenu.Kwahiyo niwe na rafiki anaeniandikia meseji "xema my" "baxi mid"
H a p a n a
Yeah umri safi kabisa, nyani mzee umekwepa mishale mingi....una mengi sana ya kunipamiaka 68,mkulima na mfugaji,std 4 mjerumani,nipo na bibi yenu.
Uko sawa!ni washkaji tu wa story za hapa na palesema unaitaji washkaji sio marafiki, marafiki wa kweli ni wale uliokua nao pamoja uko kijijini mkicheza goroli na kuchunga mbuzi pamoja and the like. reconnect with them.!!
hawa wakukutana nao town keep distance for your mental and emotional health, ila kwa vile wabongo ni wabishi endelea unachokitafuta utakipata.
uko sawa kabisaaSijui hua muna define vipi neno rafiki
Short, marafiki ni kitu dynamic kuna wakati unakuwanao kuna wakati huna, kuna wakati unakuwa na best friend kuna muda huna kabisa. Kitu ambacho kinabalu constant kuanzia utoto hadi kuzeeka ni washakaji hakuna point ya maisha ikawa huna washakaji, washkaji ni wale aaah nimekaa sana Home unaenda kijiweni unawakuta munapiga stori mada iliyopo hapo hawa ndio washakaji.
Rafiki anajitengeneza natural kutoka kwenye ushikaji na wengi ya watu 90% hawana marafiki kabisa ni washakaji tu, kama mimi sina rafiki kabisa nikienda kijiweni navigation stori na nitaowakuta Leo nitamkuta Shineda, Mussa na Saidi kesho nitawakuta Emma, kipanje na Jaffe hivyohovyo.
Inategemea na aina mkuu. Kuna walevi, malaya, mashoga, n.khahahah sh ngapi mkuu?
hahahahhaInategemea na aina mkuu. Kuna walevi, malaya, mashoga, n.k
kama ni hao mi nipo available kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 8 usiku mwendo wa kubadili viwanja tuUko sawa!ni washkaji tu wa story za hapa na pale
poapoa mkuu!kama ni hao mi nipo available kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 8 usiku mwendo wa kubadili viwanja tu
Nashangaa wote aliokua nao wakiwa watoto,waliosoma nsye ,Kwenye ukoo,anakoabudu,kazini nk kote huko hajawahi Pata RafikiHujawahi kuwa na marafiki hadi uhitaji mbinu za kupata marafiki?