hakuna miujiza, vitu vingi vinavyoitwa miujiza ni vinavyotutokea kawaida na ni kukosa ufahamu kwa mhusika..
kama kuna muujiza pendwa huwa unanichekesha sana,,, wa mtoto kutoonekana kwenye ultrasound halafu inaonekana baadaye.. ni watu kukosa ufahamu wa kipindi gani ujauzito unaonekana kwenye ultrasound, lakini kwa asiyejua kwake ni miujiza wakati ni kawaida...
halafu naona msimu wa wanaotapika viwembe ulishapita.. siwaoni siku hizi..