Nisaidieni kujua , ile miujiza ya mwamposa inafanyakaje kazi na anaitoa wapi?

Nisaidieni kujua , ile miujiza ya mwamposa inafanyakaje kazi na anaitoa wapi?

Aposto nimekunya tandu
Aposto umeme umerudi
Nb .wasukuma ndio wateja wakubwa
 
Sijui kuhusu nyie, mimi huwa naangalia mikesha yake, it’s so funny. 😆

By any chance yeye na wale vijana wake wamewahi kufanya kazi mnadani?

Lakini kama we ni mlokole mwenzangu kuna msisimko mkubwa sana huwa tunapata tukifuatilia ile mikesha.
Ibada zake ziko poa ishu ni hzo shuhuda sasa 😂
 
Uchawi wa Zambia huo kama kweli anaponya watu kwanini ameshindwa kumponya mama yake mzazi akamsafirisha hadi japani kutibiwa huko ?akili kichwani yule tapeli tu kwanza Mungu hawezi kutuletea nabii mnnyakyusa wa mbeya uyole 😂 😂
Watz bado wajinga sana ujue endeleeni kumtajilusha huyo mwizi soon ananunua chopa
 
Ubaya hata ukimuita Tapeli kuna watu wako-desperate watapigwa tu kila mtu achunge mgogo wake….yu bera watch yua back
 
Ni kama Miujiza ya Wakatoliki tu
Bora wasabato wanapokuja kukuombea laazma uwe umefunga siku tatu uwe umejikana mwenyewe.
Wao wakiona mapepo makalii wanakimbia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hawana udugu nayo😂😂😂😂😂. Ila wale jamaa wanakulana mbususu askwambie mtu😂😂😂
 
💯

Na ana ratiba ngumu sana, kiukweli anapambana kana sadaka anakula kwa haki 😆
Yule wa temboni na makelele Yao duuh afu ibada unakuta jumanne ama ijumaa ibada za jioni mpk sasa ety kuhani hajapanda madhabahuni 😅😂 na hapo kuna waumin toka mbagala zakiemu
 
Mwamposa anafanya FUTUHI aka Ze Comedy Show aka Vituko Show


Mwanadada: APosto kuna muujiza huku

Aposto::Nini kimetokea?

Mwanadada:Kuna Kijana wa Miaka 60 alikuwa hana umeme ,ila baada ya kupaka mafuta ya upako umeme umerudi.

APosto::Ehe Miaka 60 ni kijana?
Hii niliiona ilichekesha "aposto huyu kijana alikua hana umeme" Camera zinazoom namuona Babu.. 😂
 
Hii niliiona ilichekesha "aposto huyu kijana alikua hana umeme" Camera zinazoom namuona Babu.. 😂
Si unajua unapewa script bila kuona casts , unaisoma script ukiwa kwako ,ikija kwenye ibada mnafanya maigizo live sasa script inasema kijana halafu cast anakuja Mzee ,mwamposa akabadili gear angani akaona nisije nikaunguza picha 😛 😛

Same script different cast.
 
Back
Top Bottom