Nisaidieni kujua , ile miujiza ya mwamposa inafanyakaje kazi na anaitoa wapi?

Aposto nimekunya tandu
Aposto umeme umerudi
Nb .wasukuma ndio wateja wakubwa
 
Ibada zake ziko poa ishu ni hzo shuhuda sasa πŸ˜‚
 
Uchawi wa Zambia huo kama kweli anaponya watu kwanini ameshindwa kumponya mama yake mzazi akamsafirisha hadi japani kutibiwa huko ?akili kichwani yule tapeli tu kwanza Mungu hawezi kutuletea nabii mnnyakyusa wa mbeya uyole πŸ˜‚ πŸ˜‚
Watz bado wajinga sana ujue endeleeni kumtajilusha huyo mwizi soon ananunua chopa
 
Ubaya hata ukimuita Tapeli kuna watu wako-desperate watapigwa tu kila mtu achunge mgogo wake….yu bera watch yua back
 
Ni kama Miujiza ya Wakatoliki tu
Bora wasabato wanapokuja kukuombea laazma uwe umefunga siku tatu uwe umejikana mwenyewe.
Wao wakiona mapepo makalii wanakimbiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawana udugu nayoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ila wale jamaa wanakulana mbususu askwambie mtuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ’―

Na ana ratiba ngumu sana, kiukweli anapambana kana sadaka anakula kwa haki πŸ˜†
Yule wa temboni na makelele Yao duuh afu ibada unakuta jumanne ama ijumaa ibada za jioni mpk sasa ety kuhani hajapanda madhabahuni πŸ˜…πŸ˜‚ na hapo kuna waumin toka mbagala zakiemu
 
Hii niliiona ilichekesha "aposto huyu kijana alikua hana umeme" Camera zinazoom namuona Babu.. πŸ˜‚
 
Hii niliiona ilichekesha "aposto huyu kijana alikua hana umeme" Camera zinazoom namuona Babu.. πŸ˜‚
Si unajua unapewa script bila kuona casts , unaisoma script ukiwa kwako ,ikija kwenye ibada mnafanya maigizo live sasa script inasema kijana halafu cast anakuja Mzee ,mwamposa akabadili gear angani akaona nisije nikaunguza picha πŸ˜› πŸ˜›

Same script different cast.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…