Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Zingatia haya. Angalia hali yake na lifestyle kiujumla. Hasijekuwa hana option nyingine tofaufi na wewe. Kama uwezekano wa kupata wanawake wengine upo na uchumi wake unaeleweka (kuishi na mke) hapo sawa.
 
Kama alivyomwacha yule mwenye mtoto ndivyo atakavyokuacha na wewe baada ya kukuzalisha!
Kama ni Muislam na wewe ni Mkristo nakushauri kaa mbali naye.
 
Wanawake mna mbingu yenu kivyenu, imagine kumwacha kisa tu alikuficha kuwa anamtoto, wewe ulim expose vyote, Mahusiano ni kumegeana taratibu mpaka mfikeπŸ˜‚, ulijuaje kuwa ana mtoto kana alikuficha , hapa utaanza kusema ulikuja kuambiwa na wengine au kuona mwenyewe, je ulijuaje kama jamaa hatakuja kukujulisha juu ya hilo, Jibu quiz zangu
 
Rafiki yake aliniambia maana na yy alikuwa ananitakaπŸ˜…kipindi icho...hatukufikia hatua ya Mimi ku.expose Kila kitu
 
Zingatia haya. Angalia hali yake na lifestyle kiujumla. Hasijekuwa hana option nyingine tofaufi na wewe. Kama uwezekano wa kupata wanawake wengine upo na uchumi wake unaeleweka (kuishi na mke) hapo sawa.
He's stable na mpole adi ananikera hayupo romantic Sasa tatizo
 
Lazima uingie mtegoni tu
 
Kama aliwahi kukula inawezekana kachizika na papuchi yako, kama hajawahi kukula basi akila papuchi tu huyo anakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…