Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Zingatia haya. Angalia hali yake na lifestyle kiujumla. Hasijekuwa hana option nyingine tofaufi na wewe. Kama uwezekano wa kupata wanawake wengine upo na uchumi wake unaeleweka (kuishi na mke) hapo sawa.
 
Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto

Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa anatka kunioa ila kila akinitafuta namwambia sipo Tyr kwa ndoa ...nikmwambia sitaki ndoa anakubali kabisa hatnisumbua tena ila baada ya siku kadhaa bado anarudi na lile lile swala lake la kunioa ..
Je huyu mkaka atakuwa amemaanisha kunioa au anataka kuniigiza Cha kiume?!
Wanawake mna mbingu yenu kivyenu, imagine kumwacha kisa tu alikuficha kuwa anamtoto, wewe ulim expose vyote, Mahusiano ni kumegeana taratibu mpaka mfike😂, ulijuaje kuwa ana mtoto kana alikuficha , hapa utaanza kusema ulikuja kuambiwa na wengine au kuona mwenyewe, je ulijuaje kama jamaa hatakuja kukujulisha juu ya hilo, Jibu quiz zangu
 
Rafiki yake aliniambia maana na yy alikuwa ananitaka😅kipindi icho...hatukufikia hatua ya Mimi ku.expose Kila kitu
 
Zingatia haya. Angalia hali yake na lifestyle kiujumla. Hasijekuwa hana option nyingine tofaufi na wewe. Kama uwezekano wa kupata wanawake wengine upo na uchumi wake unaeleweka (kuishi na mke) hapo sawa.
He's stable na mpole adi ananikera hayupo romantic Sasa tatizo
 
Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto

Mara kadhaaa tangu kuachana nae amekuwa akinitafuta kwa miaka minne tokea 2020 na kusem kuwa anatka kunioa ila kila akinitafuta namwambia sipo Tyr kwa ndoa ...nikmwambia sitaki ndoa anakubali kabisa hatnisumbua tena ila baada ya siku kadhaa bado anarudi na lile lile swala lake la kunioa ..
Je huyu mkaka atakuwa amemaanisha kunioa au anataka kuniigiza Cha kiume?!
Lazima uingie mtegoni tu
 
Kama aliwahi kukula inawezekana kachizika na papuchi yako, kama hajawahi kukula basi akila papuchi tu huyo anakimbia.
 
Back
Top Bottom