Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Tunaposema usianze maisha na single mother huwa si kwamba masingle father hatuwaoni ila tu ni nadra kukutana na kesi zao.

Ipo hivi,wewe ni binti mbichi ambaye hauna mtoto kwa sasa na ndio opportunity yako ya kujenga maisha. Why uanze na mtu ambaye alishatengeneza mfumo nje ya ndoa na mwanamke mwingine na tena wana mtoto kabisa.

Huyu mtoto atakuja kuwa contradiction kwako na huyo jamaa. Jambo lingine huyo jamaa amekufuatilia kwa muda wote huo ili iweje sasa?

Me nadhani anataka kuleta mazoea na wewe fanya kama kukaa nae kitako bila kumkwepa na umwambie kwa uwazi ni kwasababu gani hauwezi kuwa nae tena sababu kuna vitu vimeshatokea na vitawarudisha nyuma sana na kuwaletea mkaranganyiko kama mtaanza uhusiano.
Hilo sio jambo la ugomvi wala kurumbana its simply maelewano na hauna haja ya kuhofia au kuwa uncomfortable kuwasiliana nae huku ukiweka misimamo yako na mipaka kwake.

Na jambo lingine,tafuta mahusiano yako rasmi ambayo yatakupa heshima ili wahuni kama hao wasikusumbue.

Yeye ameshazaa anataka wewe ukaanze mahusiano na yeye wakati ubaoni tayari ameshafunga?

Tafuta tu mtu mwingine na yeye atafute mwenzake wakachanganye familia walee watoto.
 
Sasa huyo mwenzake kashaolewa..
Hio hoja imenifungua akili shukran
 
Back
Top Bottom