Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Akitokea binti wa kiume utanijulisha.

Tuseme yuko tayari kukuoa je wewe uko tayari kuolewa naye? Kaka unampenda na uko tayari kipimo kwake mwambie aende nyumbani kujitambulisha taratibu za ndoa zianze. Ila kama ni swala la mgegedo hilo liko mikononi mwako kuamua
 
kama anasema anania ya kukuoa mwambie akakutambulishe kwao na akutolee kishika uchumba!.

nimekumbuka ulisema anamtoto..?
mh! subiri kwanza ngoja narudi..😅
 
Kasema huu mwezi akitoka safarini anakuja moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…