Punguza tuu stressNimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza.
Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha nywele?
Je, kuna natural remedies (tiba au vyakula vya asili yenye kusaidia kurudisha nywele zilizo potea?
Napenda sana nywele na nisipofanyikiwa hili kwa kweli nitakwenda kuplant dreads ila sitaki hilo.
Naombeni msaada ndugu zangu, mwenye uelewa wa haya maswala, anipe mwongozo.
Asanteni.
Una uhakika gani kwenye ukoo wenu hakuna hair loss? Kapime DNA halafu uje hapa tena.Nimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza.
Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha nywele?
Je, kuna natural remedies (tiba au vyakula vya asili yenye kusaidia kurudisha nywele zilizo potea?
Napenda sana nywele na nisipofanyikiwa hili kwa kweli nitakwenda kuplant dreads ila sitaki hilo.
Naombeni msaada ndugu zangu, mwenye uelewa wa haya maswala, anipe mwongozo.
Asanteni.
Achana na sukari , punguza stress.
Kunywa sana tangawizi bila sugar
Kila siku usiku kabla hujalala meza ile chumvi ya bahati walau vipunje vitano.
Fanya hivyo baada ya miezi 8 Rudi hapa
I thought of it kuna supplement nimeliona mtandaoni sijui inaitwa minoxidil nilitaka kununua ila naona wanasema haiko effective unaweza kununua hata chupa 3 bila matokeo.Inawezekana una upungufu wa madini mwilini. Kapime
Au muulize hata chat upungufu wa madini gani huwa unasababisha hair fall. Na supplements gani zinafaa
Weee😁AiseeKata kitunguu maji jipake eneo zinakonyonyoka nywele
Nywele zikipotea hazirudi, akubaliane na hali maisha yaendeleeLala mapema.
Kula protein ya kutosha.
Acha stress.
Paka mafuta mazuri ya nywele kichwa kisiwe kikavu