Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

Hiyo technology inafanyake kazi mkuu?
Huyo jamaa yupo kwenye majaribio ya anti-aging , anataka tuwe vijana milele.. sasa kupitia hiyo tiba yake kama akifanikiwa lakini ina maana tunaweza ku-reverse umri wa seli zetu kama kwa 75%, kwahiyo wenye vipara anaweza kuleta tiba ila kwa inayosababishwa na aging tu, siyo wa Genetical au under Hormonal (DHT) influence.
 
How can you reverse engineer aging of the cell?

Wanatumia nini? Sidhani kama hicho kitu inawezekana.
 
Walianza kwa panya kama ilivyo kawaida ikafanikiwa kwa asilimia kubwa kwenye seli za retina, kwahiyo ndo wanaijaribu kwa macho ya binadamu,, kwahiyo mpaka 2031 itakuwa tumeshapata majibu kama inaweza kwa binadamu au haiwezi..
Ikifanikiwa kwenye macho ya binadamu watajaribu kwa kila tissue kutegemea na aina ya seli zake..
 
Wanazi boost cell au wanafanya nini zisiweze kuzeeka?
 
Wana inject genes mpya kwenye tissue husika ambayo ina-restore ufanyaji kazi wa seli ( gene expression na usomaji wa DNA ) unakuwa kama enzi za mwanzo ( ujana ua kabla haujagonjeka).
 
Back
Top Bottom