Duuh sio genetics hizo mkuu? 😂,Ukoo wetu hakuna mwenye kipara, ila mimi ndo nimeanza nao; kwangu naweza sema chanzo ni stress na mlimbikizo wa majukumu ya kiume. Nina mvi nyingi kuliko Mama yangu na nina kipara ila ndo breadwinner wa familia.
Niko mid 30s
Naskia hata bongo wapo ila ni risk sanaUnasemaje kuwa kwenye ukoo wenu hakuna wakati Babu wa babu yako humjui. Kipara Kinachotokana na sababu ya kijenetikia hata utumie supplement za aina gani unapoteza tu muda labda uendee uturuki kupandikiza nywele.
Genetics na hsinisumbuiDuuh sio genetics hizo mkuu? 😂,
Kama haikusumbui sawa tu mkuu
Punje tano za chumvi kila siku?Kila siku usiku kabla hujalala meza ile chumvi ya bahati walau vipunje vitano.
Ukiona nywele zinanyonyoka, zinaota mvi, unapata upara, sura inapata makunyanzi ujue unakaribia kufaNimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza.
Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha nywele?
Je, kuna natural remedies (tiba au vyakula vya asili yenye kusaidia kurudisha nywele zilizo potea?
Napenda sana nywele na nisipofanyikiwa hili kwa kweli nitakwenda kuplant dreads ila sitaki hilo.
Naombeni msaada ndugu zangu, mwenye uelewa wa haya maswala, anipe mwongozo.
Asanteni.
Kumbe ni kitoto Bado.
Kwanini mnaogopa kipara?Ukoo wetu hakuna mwenye kipara, ila mimi ndo nimeanza nao; kwangu naweza sema chanzo ni stress na mlimbikizo wa majukumu ya kiume. Nina mvi nyingi kuliko Mama yangu na nina kipara ila ndo breadwinner wa familia.
Niko mid 30s
Mbaya zaidi ukose na ndevu kichwa kinabaki mviringo kama yaiSawa mkuu it's okay kama haikupi shida
Ila naona nikilose nywele kuna kitu kinatoweka kabisa kwenye maisha yangu
Kila kitu kina pa kuanzia, afu kumbe ni wa kiume na unaogopa upara?Sina hizo dalili mkuu.. Mimi bado kijana na ninaonekana mdogo beyond my age