Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

Unasemaje kuwa kwenye ukoo wenu hakuna wakati Babu wa babu yako humjui. Kipara Kinachotokana na sababu ya kijenetikia hata utumie supplement za aina gani unapoteza tu muda labda uendee uturuki kupandikiza nywele.
 
Ukoo wetu hakuna mwenye kipara, ila mimi ndo nimeanza nao; kwangu naweza sema chanzo ni stress na mlimbikizo wa majukumu ya kiume. Nina mvi nyingi kuliko Mama yangu na nina kipara ila ndo breadwinner wa familia.
Niko mid 30s
Duuh sio genetics hizo mkuu? 😂,
Kama haikusumbui sawa tu mkuu
 
Unasemaje kuwa kwenye ukoo wenu hakuna wakati Babu wa babu yako humjui. Kipara Kinachotokana na sababu ya kijenetikia hata utumie supplement za aina gani unapoteza tu muda labda uendee uturuki kupandikiza nywele.
Naskia hata bongo wapo ila ni risk sana
 
Ukiona nywele zinanyonyoka, zinaota mvi, unapata upara, sura inapata makunyanzi ujue unakaribia kufa
 
Unaonekana unapiga sn nyeto
Acha kuoga maji ya moto hs usianzie kujimwagia kichwani

Angalia kama nyayo zako mazo zimepasuka
Zink, kopa saplement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…