Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

Kafanye vipimo mbalimbali pia Full Blood Picture na vingine. Usije ukakuta kuna carcinogenic ina develop polepole mwilini.

Otherwise ni ule uzee kama nilivyoandika Gen Z mnazeeka kwa speed ya 5G
 
In fact,
katika mwanzo wa mwisho wa mwanadamu vitu vingi mwilini huanza kubadilika na kupukutika taratibu na kutangulia kaburini naturally.

Ni signal muhimu ya kumfanya mwandadamu kujiandaa kiroho na kimwili kukamilisha ratiba na safari ya maisha yake katika ulimwengu huu 🐒
 
Imani za kishirikina
 
Imani za kishirikina
kwamba nywele zinapukutika kwasababu ya imani za kishirikina, right?

hapana,
hiyo ni dalili ya wazi kabisa yakwamba jua lako linazama,
ikiwa sio kwasababu ya kutumia mionzi ya chemal🐒
 
kwamba nywele zinapukutika kwasababu ya imani za kishirikina, right?

hapana,
hiyo ni dalili ya wazi kabisa yakwamba jua lako linazama,
ikiwa sio kwasababu ya kutumia mionzi ya chemal🐒
Acha kupotosha watu wewe

Life and death aren't pre determined by such superstitious non science backed reasons

Nenda kadanganye wadogo zako huko kijijini kwenu.
 
Acha kupotosha watu wewe

Life and death aren't pre determined by such superstitious non science backed reasons

Nenda kadanganye wadogo zako huko kijijini kwenu.
gentleman,
huna haja ya kutishika,
utakufa tu kwa wakati muafaka, bila hata kiherehere chochote.

In fact hizo ni dalili za mapema, ambazo ukiziignore na kujipa matumaini kwamba ni za kishirikina, haimainishi kwamba safari yako ya jua kuzama kwa kifo inasimama,

nywele zitaendelea kupukutika na mambo mengine kuanza kupoteza ufanisi na hatimae kurest in peace.

So,
kwa wenye imani zao ni vizuri zaidi kujiandaa kiroho na kimwili ili hatimae safari hiyo ya mwisho katika dunia hii kua ya amani.

Inna lillahi wa inna ilahi rajirun 🌹
 
Punguza punyeto
 
Sasa unataka nife ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…