Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

Shida ya Nchi yetu ni kwamba hawataki kwenda na wakati.Kuna watu ofisi zao ni instagram,kazi wanafanyia geto mbagala,picha wanachukia ali express malipo kwa lipa namba...Sasa mtu kama huyo unamdaia sijui mkataba wa panho ili nn?

Mwambie tu akupe anuani yake,mtaa,barabara,nyumba namba namba ya simu na email.Mengine mta deal naye taratibu tu bila shida.Hata hiyo Tax clearance hawahitaji wanachatajuwa kufanya ni ku interlink mifumo,ma wa TRA kuona kama kodi imelipwa kikamilifu,Maana kwa TRA kupewa clearance nako kama uhalifu mwingine tu...
 
Nahitaji leseni mpya ya biashara.

Naomba kupata maelekezo ya kutumia mfumo wa TAUSI ili niweze kujikatia leseni.
 
Ni mfumo rahisi lakini wame u complicate bila sababu.Kwa password wanayohitaji ni lazima uiandike mahali kwani ni nuclear code.
Jambo la pili uwe ni mlipa kodi kwa maana uwe na TIN na la pili hakikisha una tax clearance na mkataba wa eneo unalofanyia biashara (Mkataba wa upangaji au hati ya nyumba).
Nyaraka hizo zi scan kwani utahitajika ku upload kwenye mtandao.
Fungua kwanzaaccount na anza,ukipata changamoto rudi hapa.
 
Kwa wewe unayepata changamoto tuwasiliane
Tausi leseni za biashara mtandaoni kupitia mfumo.jpg
 
Nimepata madini hapa.Mchakato nauanza.
 
Naomba muongozo hatua kwa hatua tafadhali niweze kuapply hyo leseni
 
Ni mfumo rahisi lakini wame u complicate bila sababu.Kwa password wanayohitaji ni lazima uiandike mahali kwani ni nuclear code.
Jambo la pili uwe ni mlipa kodi kwa maana uwe na TIN na la pili hakikisha una tax clearance na mkataba wa eneo unalofanyia biashara (Mkataba wa upangaji au hati ya nyumba).
Nyaraka hizo zi scan kwani utahitajika ku upload kwenye mtandao.
Fungua kwanzaaccount na anza,ukipata changamoto rudi hapa.
nataka kujua kama caretaker mmoja anaweza kukata leseni ya kampuni zaidi ya moja...kama inawezekana nafanyaje kuongeza kampuni nyingine kwny akaunti yangu?
 
IMG_4547.jpg

Msaada hapa nafanyaje?!
Tayari imeshakuwa aprroved lkn kila nikitaka kupata control no inasema hivi tokea asbh [emoji56][emoji56]
 
Wakuu alyefankiwa lesen Kwa hii TAUSI

tafadhali naomba nuwasliane nae hatua kwa hatua

Mm n mzito sana kuelewa haya mambo ya digital
 
Mm nimefanikiwa moja..lkn moja bado inasumbua kuleta control no ingawa tayari imeshakuwa approved.

Akaunti alinifungulia mtu wa manispaa mwezi wa 7 wakat naomba leseni nyingine na kila kitu alifanya yeye wakat huo

Juzi nimwingia mwenyewe kwny akaunti nikaomba lesenj nyingine mwenyewe
 
Naomba muongozo mkuu

Na inakuwaje kama nyuma unamadeni?yaan skulipa toka 2020 dec,biashara ilikufa skutoa taarifa

Sasahv nna biashara nyingne nataka leseni

Tax clearance ipo
 
Kama ni leseni ya kampuni uwe hivi

Tax clearance
Memorandum
Tin
Mkataba wa pango
Kitambulisho au namba ya nida
Barua ya utambulisho wa kampuni

Wakishakufungulia akaunti unaweza kupata leseni bila tatizo
 
Ni mfumo rahisi lakini wame u complicate bila sababu.Kwa password wanayohitaji ni lazima uiandike mahali kwani ni nuclear code.
Jambo la pili uwe ni mlipa kodi kwa maana uwe na TIN na la pili hakikisha una tax clearance na mkataba wa eneo unalofanyia biashara (Mkataba wa upangaji au hati ya nyumba).
Nyaraka hizo zi scan kwani utahitajika ku upload kwenye mtandao.
Fungua kwanzaaccount na anza,ukipata changamoto rudi hapa.
Hii imekaaje wafanya biashara ambao hawana pango wanafanyia online. Au kwa wale wanao anza biashara.
 
Back
Top Bottom