Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

Kama ni leseni ya kampuni uwe hivi

Tax clearance
Memorandum
Tin
Mkataba wa pango
Kitambulisho au namba ya nida
Barua ya utambulisho wa kampuni

Wakishakufungulia akaunti unaweza kupata leseni bila tatizo
akaunti wanakufungulia wakina nani?
I mean kama unataka leseni ya kampuni ni lazima uwe na barua ya utambulisho wa kampuni? na hiyo barua unaipeleka wapi?
 
Tuna teseka mpaka sasa tunaenda kutimiza week tausi portal haifanyi kazi sasa sisi wafanyabishara tuna umia Leo ukifungua biashara ukiripa ikifika wakati wa malipo ukipitisha saa au siku faini dah!! Haha nawenyewe waturipe fidia
 
Heshima zenu wakuu,

Msaada ndgu zangu namna ya kupata leseni ya biashara kwa huu mfumo mpya wanaita TAUSI

TAFADHALI NAOMBA MUONGOZO KWA ANAYEJUA.
 
Ni straight forward tu, kuwa na viambatanisho kisha fuata maelekezo lwenye mfumo.
 
Kama ni kampuni, nenda halmashauri Kisha watakufungulia account pale...wewe utakachotakiwa kufanya ni kuanza taratibu katika mfumo wa tausi.
Viambatanisho muhimu ni tax clearance, certificate of incorporations, birth certificate na land lease agreement
 
Back
Top Bottom