Nimejaribu hapo juuNahitaji leseni mpya ya biashara.
Naomba kupata maelekezo ya kutumia mfumo wa TAUSI ili niweze kujikatia leseni.
Imekaa uzuriKwa wewe unayepata changamoto tuwasiliane View attachment 2686827
nataka kujua kama caretaker mmoja anaweza kukata leseni ya kampuni zaidi ya moja...kama inawezekana nafanyaje kuongeza kampuni nyingine kwny akaunti yangu?Ni mfumo rahisi lakini wame u complicate bila sababu.Kwa password wanayohitaji ni lazima uiandike mahali kwani ni nuclear code.
Jambo la pili uwe ni mlipa kodi kwa maana uwe na TIN na la pili hakikisha una tax clearance na mkataba wa eneo unalofanyia biashara (Mkataba wa upangaji au hati ya nyumba).
Nyaraka hizo zi scan kwani utahitajika ku upload kwenye mtandao.
Fungua kwanzaaccount na anza,ukipata changamoto rudi hapa.
je umeshaweza kudownload?lete mrejesho maana mm nimeapply nasubiri approvalNimelipia lakini sijaletewa sehemu ya kudownload leseni. Nimelipia jumapili usiku.
changamoto niliyonayo ni jinsi ya kuongeza kampuni nyingine kwny akaunti yanguKwa wewe unayepata changamoto tuwasiliane View attachment 2686827
Mm nimefanikiwa moja..lkn moja bado inasumbua kuleta control no ingawa tayari imeshakuwa approved.Wakuu alyefankiwa lesen Kwa hii TAUSI
tafadhali naomba nuwasliane nae hatua kwa hatua
Mm n mzito sana kuelewa haya mambo ya digital
Mm nimefanikiwa moja..lkn moja bado inasumbua kuleta control no ingawa tayari imeshakuwa approved.
Akaunti alinifungulia mtu wa manispaa mwezi wa 7 wakat naomba leseni nyingine na kila kitu alifanya yeye wakat huo
Juzi nimwingia mwenyewe kwny akaunti nikaomba lesenj nyingine mwenyewe
Kama ni leseni ya kampuni uwe hiviNaomba muongozo mkuu
Na inakuwaje kama nyuma unamadeni?yaan skulipa toka 2020 dec,biashara ilikufa skutoa taarifa
Sasahv nna biashara nyingne nataka leseni
Tax clearance ipo
Hii imekaaje wafanya biashara ambao hawana pango wanafanyia online. Au kwa wale wanao anza biashara.Ni mfumo rahisi lakini wame u complicate bila sababu.Kwa password wanayohitaji ni lazima uiandike mahali kwani ni nuclear code.
Jambo la pili uwe ni mlipa kodi kwa maana uwe na TIN na la pili hakikisha una tax clearance na mkataba wa eneo unalofanyia biashara (Mkataba wa upangaji au hati ya nyumba).
Nyaraka hizo zi scan kwani utahitajika ku upload kwenye mtandao.
Fungua kwanzaaccount na anza,ukipata changamoto rudi hapa.