Kama ni kampuni, nenda halmashauri Kisha watakufungulia account pale...wewe utakachotakiwa kufanya ni kuanza taratibu katika mfumo wa tausi.
Viambatanisho muhimu ni tax clearance, certificate of incorporations, birth certificate na land lease agreement