Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

Mara nyingi ukimjulia mwanamke na ukamfikisha mbinguni na kurudi duniani, basi huyo anakufuata kama umemwekea sumaku, roho na moyo wake unakuwa umeshikilia, kuna makosa sana wanaume wanafanya hasa kutomfikisha mwanamke peponi, akifika na kurudi basi huyo wako wa milele amina..

Ila nikitazama kwa mbaliiii naona kama wewe kama unamtaka hivi, si ungechangamka haraka kumnasa roho na moyo wake, kama uko slow sana it looks
Umeongea sahihi mkuu ila huyu kuwa nae ni risk sbb jamaa yake akimtaka anytime anampata
 
Mwache kama alivyo...ipo siku akili itakaa sawa bila kushauriwa na mtu yoyote.
 
Achana na kitu hisia za mapenzi...

Mwenyewe zilinitesa sana...

Yule mwamba popote alipo Nampa maua yake jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kifupi huyo dada huwezi kumsaidia ni mpaka aamue mwenyewe kumpotezea huyo jamaa...

Usije ukamlazimisha kuingia nae kwa mahusiano, maana utajutraaa.

Ndio ninachoona unakitafuta hapo.
akili mingi
 
Salute wakuu

Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani.

Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka, alikonda ila baada ya muda akakaa sawa, akanenepa, akapendeza na mwenyewe akawa anadai kwa sasa anawekeza nguvu kujiboresha yeye na maisha yake kwa ujumla na kweli kuna hatua kapiga kiuchumi na hata ukikaa nae alikua mtu wa kuongelea big dreams.

Yaani ni mwanamke fulani hivi ukipiga nae story unajifunza vitu ila cha kusikitisha juzi tena ananiambia karudiana na jamaa na anahisi jamaa hana mapenzi nae. Namwambia kama unahisi jamaa hana mapenzi na wewe si umuache, anadai amejaribu ameshindwa hivyo anaomba mimi nimshauri afanyaje ili aweze kumuacha jamaa.

Kwa sasa ukikaa nae haongelei tena issue za maana, ni kumlilia tu huyo jamaa. Mind you ni mwanamke mwenye hela zake na ajabu kuna foreigner fulani alimpenda sana huyu dada ila dada kamtosa anadai hisia zake ziko huko alikoachwa.

Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua.

Binafsi sijui chakumshauri nisaidieni wakuu. Tena nahisi akipewa ushauri wa maneno makali labda nikimpa asome anaweza kuzinduka na kukukubaliana na reallity 2kuwa huyo jamaa is gone.
Usipoteze muda kwa wapumbavu
 
Elewa maana ya mapenzi ni upofu!!
Kuna watu wanaudhaifu wakushindwa kujinasua wakinasaa
 
Kwa nini na wewe usimtafune tu huyo kibiritingoma?
 
Salute wakuu

Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani.

Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka, alikonda ila baada ya muda akakaa sawa, akanenepa, akapendeza na mwenyewe akawa anadai kwa sasa anawekeza nguvu kujiboresha yeye na maisha yake kwa ujumla na kweli kuna hatua kapiga kiuchumi na hata ukikaa nae alikua mtu wa kuongelea big dreams.

Yaani ni mwanamke fulani hivi ukipiga nae story unajifunza vitu ila cha kusikitisha juzi tena ananiambia karudiana na jamaa na anahisi jamaa hana mapenzi nae. Namwambia kama unahisi jamaa hana mapenzi na wewe si umuache, anadai amejaribu ameshindwa hivyo anaomba mimi nimshauri afanyaje ili aweze kumuacha jamaa.

Kwa sasa ukikaa nae haongelei tena issue za maana, ni kumlilia tu huyo jamaa. Mind you ni mwanamke mwenye hela zake na ajabu kuna foreigner fulani alimpenda sana huyu dada ila dada kamtosa anadai hisia zake ziko huko alikoachwa.

Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua.

Binafsi sijui chakumshauri nisaidieni wakuu. Tena nahisi akipewa ushauri wa maneno makali labda nikimpa asome anaweza kuzinduka na kukukubaliana na reallity 2kuwa huyo jamaa is gone.
Huwezi kumshauri mwanamke aliyependa......

Ila IPO siku atachoka

Ataondoka na hatogeuka nyuma tena
 
Back
Top Bottom