kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Eh mama
mchungajii😂Achana na kitu hisia za mapenzi...
Mwenyewe zilinitesa sana...
Yule mwamba popote alipo Nampa maua yake jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kifupi huyo dada huwezi kumsaidia ni mpaka aamue mwenyewe kumpotezea huyo jamaa...
Usije ukamlazimisha kuingia nae kwa mahusiano, maana utajutraaa.
Ndio ninachoona unakitafuta hapo.

