Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

Ww sema unataka kujipachika mxiewww.!! Hebu acha mapenzi ya watu tafuta kimeo chako uhangaike nacho 🤣🤣🤣
,Sasa ndo unifyonze dadangu?
Mi wifi yako yupo sema huyu mwenzenu kama anateseka kwa kujitakia nataman azinduke
 
Salute wakuu

Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani.

Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka, alikonda ila baada ya muda akakaa sawa, akanenepa, akapendeza na mwenyewe akawa anadai kwa sasa anawekeza nguvu kujiboresha yeye na maisha yake kwa ujumla na kweli kuna hatua kapiga kiuchumi na hata ukikaa nae alikua mtu wa kuongelea big dreams.

Yaani ni mwanamke fulani hivi ukipiga nae story unajifunza vitu ila cha kusikitisha juzi tena ananiambia karudiana na jamaa na anahisi jamaa hana mapenzi nae. Namwambia kama unahisi jamaa hana mapenzi na wewe si umuache, anadai amejaribu ameshindwa hivyo anaomba mimi nimshauri afanyaje ili aweze kumuacha jamaa.

Kwa sasa ukikaa nae haongelei tena issue za maana, ni kumlilia tu huyo jamaa. Mind you ni mwanamke mwenye hela zake na ajabu kuna foreigner fulani alimpenda sana huyu dada ila dada kamtosa anadai hisia zake ziko huko alikoachwa.

Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua.

Binafsi sijui chakumshauri nisaidieni wakuu. Tena nahisi akipewa ushauri wa maneno makali labda nikimpa asome anaweza kuzinduka na kukukubaliana na reallity 2kuwa huyo jamaa is gone.
wewe mwenyeo utakua unamlia taiming huyo.
Hisia zake za mapenzi na mtu mwengine wewe zinakuhusu nini
 
Huyo mwanamke ata akiambiwa na huyo bwana ake ampe nyuma atampa na ataliwa mku.... then ataachwa na Bado ataendelea kumlilia Tena akili matope
Naamini siku jamaa akiomba nyuma ndo siku akili za dada zitafunguka,asingekubali na asingerudi tena kwa jamaa.Usiulize nimejuaje lakini mkuu
 
Aombaye Ushauri wa Mahusiano ujue ana Mahaba mazito na huyo mtu kama hana angemalizana naye chap bila hata ya ww kujua lolote
Ukishauri aachane naye subiri ndani ya wiki moja whatsApp status kajipost naye na caption kuuubwa "Hakuna Kenge yeyote wa kututenganisha"
Ni kweli usemacho mkuu
 
Achana naye huyu.Halafu acha kumsikiliza akiwa anaongea stori zake za ajabu.Kuna siku atakusimulia jinsi jamaa anavyommaliza..
 
Mpushi afanye kile ambacho nafsi yake inataka ili akakome. Mwambie amrudie mshikaji tena msaidie mbinu za kumrudia ili jamaa akamnyooshe vizuri. Baada ya hapo sasa mnaweza kuelewana.
 
Huyo sio mama mwenye nyumba yangu?? Ana nyumba za kupangisha,Ana Bars kadhaa,mwanaume wake Ana miaka 33,bi mkubwa anakaribia 50s,Ana wajukuu wawili,

Mwenye nyumba anapigwa,ananyanyaswa na kibenten,anadhalilishwa Hadi huruma,aliwahi kumuibia vitu vya ndani vyote,akatoroka after week akarudi kamsamehe,Mara ya mwisho months ago kampiga nusu ya kumuua,bi mkubwa kasema ITS OVER,akamfukuza ..

Last week anasema anamuonea huruma james Hana pa kukaa anadhurura,leo nimemuona James asubuhi kapitia geti la dharura..haha Maza karogwa au jamaa Ana d*ck Kama ya Podrick Payne
Sio huyo mkuu
 
Majoka ya kibisa kama wewe ndio wa kupewa mastori ya hivyo. Yaani mimi na boo langu uanze kunipa stori za mwanaume mwingine? Huwezi, kwa sababu kabla hujafanya hivyo nimeshakukaza
 
Focus na masuala yako mkuu, hao walipokutana hukuwepo, Leo hii uajitia mshauri mkuu, anyway umemshauri aachane na huyu bwana wake, wewe ndio utakuwa naye? Je wanapokuja kupatana tena aibu inakuwa kwa Nani?
Nakuelewa sana mkuu sema mwenyewe kaomba ushauri hajui afanyaje amsahau huyo mtu wake
 
Back
Top Bottom