maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Mwambie ajiandae kubeba stress kwa jamaa, hiyo kazi ya kuzitoa stress ibaki kwakoAnanikazia anamtunzia jamaa eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie ajiandae kubeba stress kwa jamaa, hiyo kazi ya kuzitoa stress ibaki kwakoAnanikazia anamtunzia jamaa eti
Wish azindukeBado matukio hayajakolea huyo atairudisha tena na atachapwa matukio mpaka akili itakaa sawa.Kwa sasa wewe jali biashara zako tu.
Watu wawili ambao huwezi kuwashauri maisha yako yote ni mwanaume mwenye pesa na mwanamke alie penda hawa watu nunu popcorn na juice yako tulia endelea kuangalia muvi inavyo endaSalute wakuu
Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani.
Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka, alikonda ila baada ya muda akakaa sawa, akanenepa, akapendeza na mwenyewe akawa anadai kwa sasa anawekeza nguvu kujiboresha yeye na maisha yake kwa ujumla na kweli kuna hatua kapiga kiuchumi na hata ukikaa nae alikua mtu wa kuongelea big dreams.
Yaani ni mwanamke fulani hivi ukipiga nae story unajifunza vitu ila cha kusikitisha juzi tena ananiambia karudiana na jamaa na anahisi jamaa hana mapenzi nae. Namwambia kama unahisi jamaa hana mapenzi na wewe si umuache, anadai amejaribu ameshindwa hivyo anaomba mimi nimshauri afanyaje ili aweze kumuacha jamaa.
Kwa sasa ukikaa nae haongelei tena issue za maana, ni kumlilia tu huyo jamaa. Mind you ni mwanamke mwenye hela zake na ajabu kuna foreigner fulani alimpenda sana huyu dada ila dada kamtosa anadai hisia zake ziko huko alikoachwa.
Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua.
Binafsi sijui chakumshauri nisaidieni wakuu. Tena nahisi akipewa ushauri wa maneno makali labda nikimpa asome anaweza kuzinduka na kukukubaliana na reallity 2kuwa huyo jamaa is gone.
Huwezi mpata mkuu labda uje kwa umbo la huyo jamaaMpe namba zangu ... mwambie turbo charging ipo .......ufundi mpaka peponi atafika akiwa duniani
Umeeleweka mkuu.Waswahili wanakwambia 'wapendanao wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune'.
Nafsi iliyopenda haishauriki. Na hapa unachohitaji hasa kusikia ni kwamba umtongoze, ummiliki wewe. Usithibutu.
Kama una thamini sana uwepo wake kwako basi kuwa rafiki wa kumliwaza pale atakapohitaji kuliwazwa, mengine muachie mwenyewe awe muamuzi. Huwezi juwa, katika kumliwaza kwako anaweza aka fall kwako na kumsahau jamaa ila USIFOSI.
Shida iko hapa"Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua"huyu anajaribu second chance,hajui kuwa hapa ndio atatendwa mpaka akili imkae vizuri...Salute wakuu
Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani.
Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka, alikonda ila baada ya muda akakaa sawa, akanenepa, akapendeza na mwenyewe akawa anadai kwa sasa anawekeza nguvu kujiboresha yeye na maisha yake kwa ujumla na kweli kuna hatua kapiga kiuchumi na hata ukikaa nae alikua mtu wa kuongelea big dreams.
Yaani ni mwanamke fulani hivi ukipiga nae story unajifunza vitu ila cha kusikitisha juzi tena ananiambia karudiana na jamaa na anahisi jamaa hana mapenzi nae. Namwambia kama unahisi jamaa hana mapenzi na wewe si umuache, anadai amejaribu ameshindwa hivyo anaomba mimi nimshauri afanyaje ili aweze kumuacha jamaa.
Kwa sasa ukikaa nae haongelei tena issue za maana, ni kumlilia tu huyo jamaa. Mind you ni mwanamke mwenye hela zake na ajabu kuna foreigner fulani alimpenda sana huyu dada ila dada kamtosa anadai hisia zake ziko huko alikoachwa.
Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua.
Binafsi sijui chakumshauri nisaidieni wakuu. Tena nahisi akipewa ushauri wa maneno makali labda nikimpa asome anaweza kuzinduka na kukukubaliana na reallity 2kuwa huyo jamaa is gone.
Tayari hapa alipo mistress kibao mkuu.Mwambie ajiandae kubeba stress kwa jamaa, hiyo kazi ya kuzitoa stress ibaki kwako
Ulikoma dada Donatila!Achana na kitu hisia za mapenzi...
Mwenyewe zilinitesa sana...
Yule mwamba popote alipo Nampa maua yake jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kifupi huyo dada huwezi kumsaidia ni mpaka aamue mwenyewe kumpotezea huyo jamaa...
Usije ukamlazimisha kuingia nae kwa mahusiano, maana utajutraaa.
Ndio ninachoona unakitafuta hapo.
Kabisa mkuu ila hili sio tatizo la kiafya kweli.?Watu wawili ambao huwezi kuwashauri maisha yako yote ni mwanaume mwenye pesa na mwanamke alie penda hawa watu nunu popcorn na juice yako tulia endelea kuangalia muvi inavyo enda
Anajiandaa kuwa Feminist atakaye kuwa anachukia Wanaume kwa ujinga wake.Yaani ni mwanamke fulani hivi ukipiga nae story unajifunza vitu ila cha kusikitisha juzi tena ananiambia karudiana na jamaa na anahisi jamaa hana mapenzi nae. Namwambia kama unahisi jamaa hana mapenzi na wewe si umuache, anadai amejaribu ameshindwa hivyo anaomba mimi nimshauri afanyaje ili aweze kumuacha jamaa.
Na hapa kosa sio la huyo jamaa.Shida iko hapa"Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua"huyu anajaribu second chance,hajui kuwa hapa ndio atatendwa mpaka akili imkae vizuri...
Huyo demu inaonekana ni wale Loosers ambao hawana soko.....wanaking'ang'anizi balaaUnacheza na kukojozwa wewe!
Mwenyewe anadai eti jamaa ana vingi vya ku offer zaidi ya good sexUnacheza na kukojozwa wewe!
Labda ila kwa nilivyomsoma ni ngumu kwake kuwa feministAnajiandaa kuwa Feminist atakaye kuwa anachukia Wanaume kwa ujinga wake.
Kweli huu msimimu wa sikuu offa nyingi sanaMwenyewe anadai eti jamaa ana vingi vya ku offer zaidi ya good sex
Jamaa anamkojoza na demu inawezekan tangu aanze safari Yake ya mapenz hajawahi kukujozwa zaidi ya jamaa kwahiyo mambo yake mwachie mwenyewe.Salute wakuu
Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani.
Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka, alikonda ila baada ya muda akakaa sawa, akanenepa, akapendeza na mwenyewe akawa anadai kwa sasa anawekeza nguvu kujiboresha yeye na maisha yake kwa ujumla na kweli kuna hatua kapiga kiuchumi na hata ukikaa nae alikua mtu wa kuongelea big dreams.
Yaani ni mwanamke fulani hivi ukipiga nae story unajifunza vitu ila cha kusikitisha juzi tena ananiambia karudiana na jamaa na anahisi jamaa hana mapenzi nae. Namwambia kama unahisi jamaa hana mapenzi na wewe si umuache, anadai amejaribu ameshindwa hivyo anaomba mimi nimshauri afanyaje ili aweze kumuacha jamaa.
Kwa sasa ukikaa nae haongelei tena issue za maana, ni kumlilia tu huyo jamaa. Mind you ni mwanamke mwenye hela zake na ajabu kuna foreigner fulani alimpenda sana huyu dada ila dada kamtosa anadai hisia zake ziko huko alikoachwa.
Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua.
Binafsi sijui chakumshauri nisaidieni wakuu. Tena nahisi akipewa ushauri wa maneno makali labda nikimpa asome anaweza kuzinduka na kukukubaliana na reallity 2kuwa huyo jamaa is gone.
Cha msingi na wewe kata nae mazoea😏Salute wakuu

Wakiitwa pisi kali zile visu haswaa hatoki na kuhusu soko lake sijui ila ana bahati ya kupendwa na jamaa wazito na angekua sio hiyo kushindwa kumsahau huyo jamaa yake nina imani saa hizi angekua kwenye ndoa au mahusiano serious na jamaa fulani hivi sio mtanzania.Huyo demu inaonekana ni wale Loosers ambao hawana soko.....wanaking'ang'anizi balaa