Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

Umeongea sahihi mkuu ila huyu kuwa nae ni risk sbb jamaa yake akimtaka anytime anampata
 
Mwache kama alivyo...ipo siku akili itakaa sawa bila kushauriwa na mtu yoyote.
 
akili mingi
 
Usipoteze muda kwa wapumbavu
 
Elewa maana ya mapenzi ni upofu!!
Kuna watu wanaudhaifu wakushindwa kujinasua wakinasaa
 
Kwa nini na wewe usimtafune tu huyo kibiritingoma?
 
Huwezi kumshauri mwanamke aliyependa......

Ila IPO siku atachoka

Ataondoka na hatogeuka nyuma tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…