Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

Qashy Lilith

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2024
Posts
1,508
Reaction score
2,965
Habari zenu,

Naomba kuuliza swali:

Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
 
Mimi ni ke
Umri 23
Tulia Kwanza umri huo bado una mihemko mingi Sanaa..
Labda Kama una bahati mtu wako ni 40+yrs anaweza kukucontrol Kama wewe hutakuwa msumbufu..lakini Kama ni kijana mwenzio tulia utapoteana
Kuhusu kutimiza ndoto labda Kama ndoto gani maana Afrika kutimiza ndoto ni mlolongo mrefu saana.
 
Kwanini nisahau

Kwanini nisahau
Uwezekano wa Mwalimu kutembea na Mwanafunzi wake ni mkubwa sana ukilinganisha na watu wengine. Ndiyo maana wanaume wengi huwa hawataki kusikia suala la wake zao kuendelea kuongeza digirii.

Mimi sijaoa ila huwa napiga stori na baadhi ya mabro. Majibu mengi ninayo yapata ni ya namna hiyo. Kwahiyo hata wewe ukiamua kuolewa una uwezekano mkubwa wa kukutana na mwanaume mwenye huo mtazamo.

Ndio ipo hivyo yani.
 
Sio kweli, kila mtu anamalengo yake tofauti na kuoa au kuolewa , mwanaume mwenye busara husaidia mke wake kufikia malengo yake kama ambavyo mke mwenye busara anavyoweza kufanya tu🤔
Ndyomaana nikasema wanawake wanao jitambua, hao wengine wenye ndoto za kuwa matajiri au kupata vitu fulani ndyo sababu ndoa nyingi hazidumu.
 
Sasa 40+ na 23 mbn hio hesabu haikai vzr......ndoto za kufanikisha ni nyingi ila muda ni mchache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…