Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

Mimi najua tu pale mwanamke anapoolewa na ndoto zake zinaisha maana hata huyo mwenza atamsupport kipindi Cha kwanza kwanza wakiozoeana basi imeisha hio

Ni kweli kwamba baadhi ya wanaume wanaweza kuonyesha msaada mkubwa mwanzoni mwa ndoa, lakini baada ya muda, msaada huo hupungua kutokana na changamoto za maisha au kutokuelewana kuhusu malengo.
Hata hivyo, hili halimaanishi kwamba kila ndoa itaishia hivyo.

Mwanamke anaweza kulinda ndoto zake kwa kuhakikisha mazungumzo ya wazi na mwenza wake kuhusu matarajio na mipango ya maisha kabla na baada ya ndoa.

Pia, ni muhimu kwa mwanamke kujiamini, kujipanga, na kuonyesha nia thabiti ya kutimiza malengo yake hata anapokuwa ndani ya ndoa.
Mwanaume anayempenda na kumheshimu mke wake ataendelea kumuunga mkono kwa sababu ataelewa kwamba mafanikio ya mkewe pia ni mafanikio yao wote kama familia.
 
Habari zenu,

Naomba kuuliza swali:

Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Chagua uolewe au uache uwe either msagaji au muoa vibenten
 
Sio kweli, kila mtu anamalengo yake tofauti na kuoa au kuolewa , mwanaume mwenye busara husaidia mke wake kufikia malengo yake kama ambavyo mke mwenye busara anavyoweza kufanya tu🤔
50/50 imewatieni ulemavu,ndiyo nasema mara nyingi kwa madogo wife material wa kizazi hiki ni form six kurudi nyuma mpaka la saba.

Bora mke ajue kusoma na kuandika.
 
Unataka kujaribu au uko serious! Ndoa ni zaidi ya kuamsha miguu mdogo wangu,maana usiwaze kile chakula tu cha usiku..nina imani huyo anayetaka kukuona unamjua vizuri,kama ndivyo usingekuja na hii hoja hapa,unless unabahatisha! Uamuzi ni wako!
 
Ukiolewa kubali kutoa kinu itwangwe kila siku, mambo ya kubania na kuleta habari za malengo NO. Malengo unataka uwe nani, minister?
 
Unataka kujaribu au uko serious! Ndoa ni zaidi ya kuamsha miguu mdogo wangu,maana usiwaze kile chakula tu cha usiku..nina imani huyo anayetaka kukuona unamjua vizuri,kama ndivyo usingekuja na hii hoja hapa,unless unabahatisha! Uamuzi ni wako!
Sio kwamba naolewa ila tu nmetaka kujua zaidi
 
Back
Top Bottom