Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
- #61
😂NmeskiaBasi usimpe kwanza tunda mpaka akuoe? Umesikia mdogo wangu mzuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂NmeskiaBasi usimpe kwanza tunda mpaka akuoe? Umesikia mdogo wangu mzuri?
Ndoa ni tena jukumu jingine aiseeeNi uelewa wa mtu na nafsi yake, kikubwa mjadiliane kwa pamoja kufikia muafaka.
Ndoa sio gereza bahati mbaya sana huku kwetu ndoa tunazichukulia tofauti na kizamani sana, mfano unataka kujiendeleza kielimu, uwezo upo / tunao kwa nini usisome?
Na kingine wanawake wengi wakishaolewa huwa wanashusha vitu vingi sana na kufocus kwenye malezi labda na bahati itokee apate biashara afanye, mambo ya kushika madaftari au kupambana apate kazi anayafuta kwanza.
Asante sana....nmekuelewa vizuriSimple, ukiolewa wewe sahau kuwa na ndoto, kama sio kwa kupenda basi kwa circumstances za maisha tu. Sababu utakosa important resources zote zitakazokuwezesha kukamilisha chochote cha maana. Time, personal decision-making, na independence in general.
Kingine ni kwamba kama ni kweli una ndoto za maana na una nia ya kweli ya kuzikamilisha basi hakuna faida wala umuhimu wowote wa wewe kuolewa kwa sasa. Panga muda wa ku-work on your dreams, utakutana na mtu mnayeendana mitazamo on the way au ndani ya hiyo timeline.
Ndio hivo mkuuNdoa ni tena jukumu jingine aiseee
Kazi ipoNdio hivo mkuu
Kwenye wanawake 100 wapo watatu hao wengine wakishafikia malengo ya ndoto zao wanakwambia wewe sio wa hadhi yake.Sio kweli, kila mtu anamalengo yake tofauti na kuoa au kuolewa , mwanaume mwenye busara husaidia mke wake kufikia malengo yake kama ambavyo mke mwenye busara anavyoweza kufanya tu🤔
Zitachukua muda kidogo hizo ndoto kutimia si unajua ukiingia usingizini kuna time interval ya kuupata usingizi mpaka kuifikia stage ya ndoto panachukua muda kidogo yaan mpaka mawimbi ya ubongo yatulie then ndio ndoto zinaanza kufanya kazi hapo, sasa ukishafika hio stage ndoto hua zinaanza kutimia kwanini umeuliza swali unakaribia kuolewa hivi karibuni?Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Tulia kunywa maji kwenye glass kwanza halafu tuendeleeSasa 40+ na 23 mbn hio hesabu haikai vzr......ndoto za kufanikisha ni nyingi ila muda ni mchache
Ulitaka uwe wa nje cute,...Hapo kuolewa nakuwa mke Kuna vitu sitavifanya nageuka kuwa wa ndani milele
😂😂😂😂Ulitaka uwe wa nje cute,...
Ila inategemeana na mkoloni gani atakayekumiliki
Nmehitaji kujua niongeze knowledge nsije kuingia mtegoniZitachukua muda kidogo hizo ndoto kutimia si unajua ukiingia usingizini kuna time interval ya kuupata usingizi mpaka kuifikia stage ya ndoto panachukua muda kidogo yaan mpaka mawimbi ya ubongo yatulie then ndio ndoto zinaanza kufanya kazi hapo, sasa ukishafika hio stage ndoto hua zinaanza kutimia kwanini umeuliza swali unakaribia kuolewa hivi karibuni?
Tegua mtegoNmehitaji kujua niongeze knowledge nsije kuingia mtegoni
Yas unatoa?Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
5 oclock in the morning whatchu gonna do outside the corner? Until the day.Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Kama wewe ni ke basi unavyoonekana bado sana kuolewa, utaenda kumsumbua kijana wa watu. Maliza usichana wako kwanza na hayo malengo yako.Umri ukienda baadae saana uje tena huku kuomba ushauri wa kuolewa na mzee flan hapo mtaani kwenu atakuwa anakutaka na utaona ana malengo na wewe.Mimi ni ke
Umri 23
Ukimuinua mwanamke anakuacha. Usijesema hukuambiwa.Sio kweli, kila mtu anamalengo yake tofauti na kuoa au kuolewa , mwanaume mwenye busara husaidia mke wake kufikia malengo yake kama ambavyo mke mwenye busara anavyoweza kufanya tu🤔