Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

Lengo kuu kwa maisha ya mwanamke anaye jitambua ni kuolewa na kuwa na familia imara, hayo mengine ni ziada tu.
๐Ÿ™‹โ€โ™‚๏ธ๐ŸŽฏ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘๐Ÿค๐Ÿ™
 
Inategemea,na aliyemuoa atampush vip,alafu malengo ni mengi inawezekana hata huko kuolewa ikawa nalo ni lengo lake
 
Sio kweli, kila mtu anamalengo yake tofauti na kuoa au kuolewa , mwanaume mwenye busara husaidia mke wake kufikia malengo yake kama ambavyo mke mwenye busara anavyoweza kufanya tu๐Ÿค”
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Umri kusogea sioni kama ni ttatizo
" Hauoni kama ni tatizo" but the reality is harsh ukigonga 30's kwa mwanamke hasa nchi zetu hizi unazidi kujipunguzia sifa ya kuingia ndoani this is the reality.

Nadhani hata kwa nchi za wenzetu though huwa hawaliongelei sana ila 18-20's huwa wana soko kubwa la ndoa kuliko 30's -40's .
 
Sasa ka una malengo yako si uyakamilishe kwanza kabla ya kuingia kwa ndoa

Kwenye ndoa utakutana na mbinu za waliosoma Cuba .... anaweza akakuacha upenyeze ndoto zako ama akazipunguza kasi kama hutomtiii mume wako
 
" Hauoni kama ni tatizo" but the reality is harsh ukigonga 30's kwa mwanamke hasa nchi zetu hizi unazidi kujipunguzia sifa ya kuingia ndoani this is the reality.

Nadhani hata kwa nchi za wenzetu though huwa hawaliongelei sana ila 18-20's huwa wana soko kubwa la ndoa kuliko 30's -40's .
Duh
 
Malengo binafsi.....sio ya ndoa?!
Mkuu kwenye ndoa hakuna malengo binafsi ya mke, ila malengo ya ndoa chini ya uongozi wa mwanaume; His highness the King!!

Mke akiwa na malengo binafsi ndani ya ndoa, huo unaitwa uhaini katika himaya ya ndoa!!! Na mfalme yeyote hawezi kukuacha salama uuvuruge ufalme wake!!!

Mkuu ukitaka kutimiza malengo yako binafsi kama mke usiolewe kabisaa!! Baki kwa wazazi wako.

ambapo mkuu, napo kama baba naye kama mume wa mtu anayejitambua lazima ahakikishe unafanya hayo kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria yake!!!
 
Habari zenu,

Naomba kuuliza swali:

Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Ni hivi;

1. Kama malengo na ndoto za muolewaji hakuna mahala zinakutana na malengo/ndoto za muowaji, NDOTO HIZO ZITAFIA HAPO. Na hii hubebwa na maneno ya kwamba umjue unayeingia naye kwenye ndoa.

2. Kama vipaumbele vya muolewaji hakuna pahala vinakutana na vipaumbele vya muowaji, NDOTO HIZO ZITAFIA HAPO. Na hii hubebwa na maneno ya kwamba umjue unayeingia naye kwenye ndoa.

ZINGATIA UMJUE UNAYEINGIA NAYE KWENYE NDOA
 
Kwa umri wangu wewe utaniambia nini mkuu nisichokijua?
1. Unadhani wanaofeli kwenye mambo fulani ni wenye umri mdogo pekee?

2. Huoni kwamba hapa duniani kila siku tunajifunza? Hivi huoni kwamba kuna vitu vipo leo (2024) lakini havikuwepo 1973 etc?

3. Kwa mtazamo wangu, wenye imani kama hii, ndo hufeli sana. Na hii hutokana na wao kuamini kwamba WANAJUA KILA KITU, hivyo hawahitaji kujifunza kwa wengine.
 
Mkuu nahitaji kujifunza ila sio kwenye mahusiano , hapo no mkuu๐Ÿ˜‚
 
1. Unadhani wanaofeli kwenye mambo fulani ni wenye umri mdogo pekee?

2. Huoni kwamba hapa duniani kila siku tunajifunza? Hivi huoni kwamba kuna vitu vipo leo (2024) lakini havikuwepo 1973 etc?

3. Kwa mtazamo wangu, wenye imani kama hii, ndo hufeli sana. Na hii hutokana na wao kuamini kwamba WANAJUA KILA KITU, hivyo hawahitaji kujifunza kwa wengine.
Nyani Mzee humwambii kitu anajua kila kitu na mwili umejaa makovu kibao still bado anaishi akianza kukupa historia yake unaishiwa pozi
 
Back
Top Bottom