Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

Nisaidieni kwa wote waliooa na kuolewa

What kind of ur dreams you mean ?

Kuolewa - unaweza kutimiza ndoto zako 100%

Kutokuolewa -unaweza kutimiza ndoto zako 100%.

Kikubwa all you need is to pray to get the right person in your life .

At your age 23 yrs you need to be smart enough to understand what is wrong what is right.

Maintain kuwa closed with big thinkers katika hao big thinkers you will pick one na huyo one atakuwa Ur husband , ur partner ur mentor , and everything.
 
Where are these big thinkers
 
Habari zenu,

Naomba kuuliza swali:

Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Ni wanaume wachache sana wanaoweza kuruhusu mke atimize ndoto zake.
Chagua ndoto zako au kuolewa. Uamuzi ni wako
 
Tujitafute kwanza au unasemaje😂tusije kuwa mama wa ndani
Unabidi kujua kuhusu "the power of association" in your life.

Age ya mwanamke na mwanaume ni tofauti.

Ukisema unajitafuta , unabidi kujitafuta huku ukiwa umeambatana na watu sahihi.

Sio unatembea na wanaume Huku na kule na the more you you do sex with different people ndo the more unapoteza nuru na kuchoka deu the body count.

It is better to give your life the real meaning of success and what the dream is .

So ukipata MTU sahihi kubali kuanza nae maisha.

Rejected women
Single maza
Divorced

Hawa wote ni marriage loser , hawana cha maana watakachokushuri kuhusu maisha.
 
How does body count goes in hand with success na vipi kuhusu kupoteza Nuru?!!
 
Muhimu nikupata mtu ambae ataku-support ndoto zako na malengo .
Na pia tabia yako ni muhimu usije ukatumia njia hiyo kuharibu ndoa.

Kama huyo mwanaume wa kusupport kwenye malengo yako humuoni na umewia kutimiza ndoto zako ni bora usiolewe kwanza.

Haya mambo ndio yakujadili kipindi cha uchumba au urafiki.
SIo kuwaza kunyanduana tuu.
 
Back
Top Bottom