Nisaidieni, najihisi kabisa nimepewa limbwata

Pambana na hali yako. Tunaposema wanawake nimashetwani hamtaki kuelewa
 
Maisha ya mahusiano na ndoa ni zaidi ya kukata mauno.

Mauno yana faida gani katika ada za watoto?
Mauno yanaleta pesa mezani?
Mauno yana jenga?
 
Nisaidieni na mimi nijitambue jamani, hali siyo nzuri huku.
 
Mkuu pole sana ila unaonekana maisha unayo sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…