sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida.
Mzee anadai hawezi nyofoka lazima apelekewe moto, sasa anaomba msaada nini tufanye kumsuru, na Mzee mwenyewe ni konyo alivyopanda juu alipanda na ngazi yake hakutaka wengine wapande Ili nyakati kama hizo waimbe palapanda pamoja.
Wadau mwenye uzoefu anisaidie kuhusu mrungura usijali tupo pamoja.